Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Mie ningependa kweli kuwa na hali kama yako - maana ningefurahia sana kuwa na uwezo kuinjoi kula bila kuogopa.

Ikubali hali yako ambayo kimsingi ni bahati.
 
Wakuu
Nahitaji niwe na mwili wenye uzito wa kufikia kilo 60 angalau niweze kuwa na muonekano

kwa sasa niko na kilo 54 na mrefu kiasi, nitumie mbinu gani niweze kuongeza uneno na hatimaye uzito wa mwili maana njia ya kula kitimoto, kunywa maziwa na matunda kila uchwao imefeli najiona palepale
msaada tafadhali
Nilikua kama wewe na ilinitesa sana kwa mda mrefu mpaka ikafika kipindi nikaelekea kukata tamaa .ila baadae nika google na kusoma documents mbalimbali zinazohusu vyakula vya kuzingatia kama nataka kuongeza uzito
Hatimaye sahz nimeongezeka kwa zaidi ya 10kg zaidi yako wewe .
Zingatia sana kula vyakula vyenye karolies nyingi mfano Nyama, maziwa, mayai ya kukaanga+wali/ugali mkubwa na kila ukimaliza kula shushia na soda
Hakikisha kabisa usiruke mlo hata moja(asbh, mchana na jioni) na usiruhusu kabisa tumbo libaki tupu .Ikiwezekana kula hata milo minne au mitano kabisa kwa siku . Zingatia kila siku kabla ya kulala kula chakula heavy mfano wali mwingi, nyama na mayai ya kukaanga matatu halafu shushia na soda. Nakuhakikishia mwanangu ndani ya mwezi tuu utajishangaa mwenyewe
NB; Jitahidi sana kuwa free, usiwe na stress
 
Aiseee huyo si mwanaume!

hapo labda nipate ka kitambi flani ivi vha kuchomekea shati lionekane pia cha kufutia simu
Ila kaa ukijua kuwa huwezi kuongezeka kitambi bila kuongezeka matako,hebu jaribu kutafakari utaonekana vipi,ni bora hata ubaki hivyo hivyo maana utazidi kuchekesha watu...
 
Unanikumbusha mzee wangu (baba) alikuwa na mwili mdogo sana na alipenda kuwa na kitambi, mzee alikuwa ameokoka hna mambo machafu, watu wakamshauri aanze kula bia .
Akaanza kupiga bia kama zote, kweli mzee mwili umebadilika kabisa akawa mnene na kitambi juu na haujawahi kupungua.
 
Eat , sleep , relax , sex , exercise..
Utatuletea mrejesho namna tukushauri kupunguza mwil , kitambi , makalio nk
 
Nilikua kama wewe na ilinitesa sana kwa mda mrefu mpaka ikafika kipindi nikaelekea kukata tamaa .ila baadae nika google na kusoma documents mbalimbali zinazohusu vyakula vya kuzingatia kama nataka kuongeza uzito
Hatimaye sahz nimeongezeka kwa zaidi ya 10kg zaidi yako wewe .
Zingatia sana kula vyakula vyenye karolies nyingi mfano Nyama, maziwa, mayai ya kukaanga+wali/ugali mkubwa na kila ukimaliza kula shushia na soda
Hakikisha kabisa usiruke mlo hata moja(asbh, mchana na jioni) na usiruhusu kabisa tumbo libaki tupu .Ikiwezekana kula hata milo minne au mitano kabisa kwa siku . Zingatia kila siku kabla ya kulala kula chakula heavy mfano wali mwingi, nyama na mayai ya kukaanga matatu halafu shushia na soda. Nakuhakikishia mwanangu ndani ya mwezi tuu utajishangaa mwenyewe
NB; Jitahidi sana kuwa free, usiwe na stress
ngoja niongeze juhudi kula
 
Mimi nimepungua uzito mno nile nini niongezeke uzito na ninenepe?

Kwetu tuna asili ya unene kaka zangu ni wanene balaa, dada zangu hivyo hivyo. Mimi nimepungua sana uzito natamani ninenepe

Nile vyakula gani? I mean simple food ambazo zinaongeza uzito.

Natamani ninenepe walau kidogo huu wembamba sio poa kabisa.

Ambao mlikuwa wembamba mkanenepa au mkaongezekamo kidogo nipeni mbinu mlitumia nini?
 
Fanya mazoezi mkuu. Misuli ndiyo issue kwa mwanaume, mafuta siyo.

Mafuta mwilini yana madhara makubwa kwa mwanaume.
 
Pitia muongozo pia jifunze jinsi ya kutengeneza Protein Shake

Now nimepungua uzito sana sababu
1)thinking over
2)Diet zero
3)Workout zero

Nikirudi kwenye line nataka niongeze
1)Misuri
2)Uzito (5KG)
3)Strength
 
Back
Top Bottom