Fahamu mambo mbalimbali kuhusu biashara ya bidhaa za electronics

Asante sana. Najaribu hii biashara kwakweli. Nitafanya kama mdau alivyoshauri nisiingie mazima. Naweza ingiza hata 20m tu
 
Mtaji huo unatosha sana.. kikubwa punguza expectations, hao watu unaoita una connection nao watakuja kukushangaza.
Asante kwa angalizo hilo. Network ya watu wanaweza fika zaidi ya 50 but mie nimechukulia watu 20 tu siwezi kosa. Hawa ni mafundi umeme ambao wanafanya wiring maeneo mbalimbali.
 
Una MTU/watu wa kuisimamia hiyo biashara
Ndio. Na yupo vizuri sana. Kwanza ana elimu ya usimamizi wa biashara. Na nimewahi kufanya nae biashara moja ikalipa vizuri sema tuliifunga baada ya hamahama nyingi. But ilifungwa with profit
 
Asante kwa angalizo hilo. Network ya watu wanaweza fika zaidi ya 50 but mie nimechukulia watu 20 tu siwezi kosa. Hawa ni mafundi umeme ambao wanafanya wiring maeneo mbalimbali.
Tatizo sio kuwa na hiyo network ila umejiandaa vp kuishi na hiyo network? hao mafundi kama hautaishi nao vzr wanaweza kukukimbia wote aisee,mie ni fundi ukitaka abcd za kuishi na mafundi njoo pm
 
Tatizo sio kuwa na hiyo network ila umejiandaa vp kuishi na hiyo network? hao mafundi kama hautaishi nao vzr wanaweza kukukimbia wote aisee,mie ni fundi ukitaka abcd za kuishi na mafundi njoo pm
Nami pia ni fundi ndugu yangu. Nina uzoefu wa ufundi since 2005. Yaani nipo kwenye sekta kwa miaka 16 sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…