stabilityman JF-Expert Member Joined Jul 9, 2024 Posts 812 Reaction score 1,753 Jul 17, 2026 #1 Madhara ya uvutaji sigara: Saratani ya mapafu, koo, kinywa, umio, kibofu, na viungo vingine Magonjwa ya moyo na mishipa ya damu (kiharusi, shambulio la moyo) Emphysema na bronchitis ya kudumu (COPD) Kupungua kwa uwezo wa mapafu kupumua vizuri Shinikizo la damu kuongezeka Kudhoofisha mfumo wa kinga ya mwili Meno kuwa na madoa na tatizo la fizi Harufu mbaya mdomoni na mwilini Ngozi kuzeeka haraka Kupungua kwa uzazi kwa wanaume na wanawake Hatari kwa mimba (kuharibika kwa mimba, mtoto kuzaliwa njiti au uzito mdogo) Uraibu (addiction) wa nikotini Madhara kwa watu wanaovuta moshi wa sigara bila kuvuta wenyewe (secondhand smoke) — hasa watoto Kuongeza hatari ya kupata kisukari aina ya 2 Kudhoofisha uwezo wa kuona (macho) Kupunguza uwezo wa mwili kupona haraka baada ya majeraha au upasuaji
Madhara ya uvutaji sigara: Saratani ya mapafu, koo, kinywa, umio, kibofu, na viungo vingine Magonjwa ya moyo na mishipa ya damu (kiharusi, shambulio la moyo) Emphysema na bronchitis ya kudumu (COPD) Kupungua kwa uwezo wa mapafu kupumua vizuri Shinikizo la damu kuongezeka Kudhoofisha mfumo wa kinga ya mwili Meno kuwa na madoa na tatizo la fizi Harufu mbaya mdomoni na mwilini Ngozi kuzeeka haraka Kupungua kwa uzazi kwa wanaume na wanawake Hatari kwa mimba (kuharibika kwa mimba, mtoto kuzaliwa njiti au uzito mdogo) Uraibu (addiction) wa nikotini Madhara kwa watu wanaovuta moshi wa sigara bila kuvuta wenyewe (secondhand smoke) — hasa watoto Kuongeza hatari ya kupata kisukari aina ya 2 Kudhoofisha uwezo wa kuona (macho) Kupunguza uwezo wa mwili kupona haraka baada ya majeraha au upasuaji
Hepatis B JF-Expert Member Joined Feb 11, 2013 Posts 216 Reaction score 189 Jul 17, 2026 #2 Mbona serikali inauza tu. Au haioni hayo madhara? Babu yangu alikuwa anavuta tumbaku sana. Alikufa na miaka 105 haya maisha hayatabiriki kabisa.
Mbona serikali inauza tu. Au haioni hayo madhara? Babu yangu alikuwa anavuta tumbaku sana. Alikufa na miaka 105 haya maisha hayatabiriki kabisa.
Champion number one JF-Expert Member Joined Dec 17, 2022 Posts 1,553 Reaction score 3,985 Jul 17, 2026 #3 Hata ugali unaokula una madhara acha kupangia watu maisha Kuna mtu alikuwa havuti kafa na miaka 20 ila Jana nimekutana na babu ana miaka 90 plus na anavuta...
Hata ugali unaokula una madhara acha kupangia watu maisha Kuna mtu alikuwa havuti kafa na miaka 20 ila Jana nimekutana na babu ana miaka 90 plus na anavuta...
stabilityman JF-Expert Member Joined Jul 9, 2024 Posts 812 Reaction score 1,753 Jul 17, 2026 Thread starter #4 huhu
Daudi1 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 15,203 Reaction score 24,582 Jul 17, 2026 #5 Unafikiri watu hawajui? Kwenye pakiti ya sigara pameandikwa uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako na mtu anaivuta
Unafikiri watu hawajui? Kwenye pakiti ya sigara pameandikwa uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako na mtu anaivuta
D Doria Mtandaoni JF-Expert Member Joined Jun 17, 2025 Posts 362 Reaction score 752 Jul 17, 2026 #6 Daudi1 said: Unafikiri watu hawajui? Kwenye pakiti ya sigara pameandikwa uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako na mtu anaivuta Click to expand... Pia sie huku Sikonge tunawalimia kabisa, tunapata usd za kutosha.
Daudi1 said: Unafikiri watu hawajui? Kwenye pakiti ya sigara pameandikwa uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako na mtu anaivuta Click to expand... Pia sie huku Sikonge tunawalimia kabisa, tunapata usd za kutosha.
Kubwjing JF-Expert Member Joined Aug 2, 2025 Posts 2,915 Reaction score 5,246 Jul 17, 2026 #7 Shukran sana kwa Ilmu
Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 8,688 Reaction score 14,159 Jul 17, 2026 #8 Sigara ni janga, ukweli usemwe
R Risen man JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 20,005 Reaction score 54,084 Jul 17, 2026 #9 Madhara ya kula maharage mara kwa mara
D DALALI MKUU JF-Expert Member Joined May 7, 2022 Posts 2,574 Reaction score 6,119 Jul 17, 2026 #10 Hepatis B said: Mbona serikali inauza tu. Au haioni hayo madhara? Babu yangu alikuwa anavuta tumbaku sana. Alikufa na miaka 105 haya maisha hayatabiriki kabisa. Click to expand... mmh mbona kama huyu pia ni babu yangu wewe ni Kutokea Rombo?
Hepatis B said: Mbona serikali inauza tu. Au haioni hayo madhara? Babu yangu alikuwa anavuta tumbaku sana. Alikufa na miaka 105 haya maisha hayatabiriki kabisa. Click to expand... mmh mbona kama huyu pia ni babu yangu wewe ni Kutokea Rombo?