Fahamu kuhusu Scholarships za Postgraduate kwa Sub Sahara Africa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,274
London School of Hygiene wana Scholarships kwa watu wa Sub Sahara Africa kwa Masters in Public Health, Control in Infectious Diseases etc

Sifa:
• Uwe na first class or 2:1 in undergraduate.

• Kama ulisoma nje ya Uingereza uwe na English certificate mitihani unaufanya British Council

Masters ni one year full time na baada ya tuition fee unapewa £17,000 zinakuwa in division of 12 months.

Kizuri kula na mwenzio.
 
Back
Top Bottom