Fahamu kuhusu Scania Buses VS Yutong, Kinglong, Zhongtong, Higer, Golden Dragon, Sunlong Buses

Vipi kuhusu mabasi mapya ya TATA MARCOPOLO BUS YALE YENYE BODY KAMA ZA U TONG .....YANAONEKANA KUWA IMARA KWA SASA .....KANDA YA ZIWA KUNA BATCO ANAYATUMIA KAMA JARIBIO ...HAYAONEKANI KUCHOKA YAPO IMARA SANA

Je haya yamekuja kutoa upinzani kwa scania bus , na kuna bus nzuri kabisa alikuwa nazo tajiri mmoja pale TANGA RAHA LEO ISUZU!! VIP HIZOView attachment 1387425

sent from toyota Allex
yana mda gani hapa nchini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo body zimetengenezwa na Marcopolo na kufungwa injini ya Tata zinaitwa Tata Magma.

Bus za Isuzu,Nissan Diesel zilifanya vizuri na mpaka leo Raha Leo anazo Isuzu na Tawakal naye anatumia Isuzu.
Saizi watu wanachukua basi za mchina sababu ya bei nafuu na machaguo ya vitu vya luxury ndani ya basi kama siti,tv, chaja na friji.
 
Hivi wa kwanza kuleta Yutong bongo sio Golden Intercity? Zilikuwa nyeupe zina engine nyuma route ya Dar-Mwanza na walikuwa wana operate wachina wenyewe
 
Hizi tata hakuna inayopiga safari ndefu mpaka sasa
Vipi kuhusu mabasi mapya ya TATA MARCOPOLO BUS YALE YENYE BODY KAMA ZA U TONG .....YANAONEKANA KUWA IMARA KWA SASA .....KANDA YA ZIWA KUNA BATCO ANAYATUMIA KAMA JARIBIO ...HAYAONEKANI KUCHOKA YAPO IMARA SANA

Je haya yamekuja kutoa upinzani kwa scania bus , na kuna bus nzuri kabisa alikuwa nazo tajiri mmoja pale TANGA RAHA LEO ISUZU!! VIP HIZOView attachment 1387425

sent from toyota Allex

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Scania ndio mume wa hao wote. Nilithibitisha kwa safari ya Mbeya hivi karibuni. Basi la Sauli ni Scania saa moja nimefika Mbeya kawapita wote, la pili Alysaid nayo Sacania na tatu nia Imani ambalo ni Higer. Narudi Bongo tena Sauli katufikisha saa moja na dakika 15, ikafuata Imani na baadae Alysaid. Hizo za kichina nasikia ziliingia saa nne.
Shida ya Sauli ni legroom ni ndogo sana..
Na Sauli si kuwa anatembea sana zaidi ya Wengine ila Yeye ana violate sheria sana. Mfano sehem ya kutembea 50kmp yeye ni 80kmh.
Pia wanaposimamishwa na traffic police hawasimami.
Sasa Wengine kwenye 50kmh hutembea hiyo hiyo
 
Mkuu hili ni jukwaa hata hapa unaweza elezea vizur tu mana huu ni uzi mpya , hiyo ya kusema ulielezea torque mwaka 2014 haina tija sana kwa baadhi ya wasomaji,
Kujifunza tunajifunza kila siku .
Soma post zangu za zaman utaona nikielezea vizur torque versus hp miaka ya 2014...leo hii useme sjui hp na torque

Ni kingereza hujaelewa au em soma hapo ulipoquote uelewe mbona tayari nimeelezea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa sisi watu warefu kupanda basi la kichina nimtihani mzito kwelii maana mpk ufike hayo magoti yatakuwa yamechubuka balaa
Jamani myonge mnyongeni haki yake mpeni mimi kama msafiri unambie nipande dar express au sunlong ya shabiby .. nachagua sunlong sababu seat zina nafasi .. TV nyuma ya seat , usb charger .. kupupwe cha kutosha ... choo ndani ...

Mchina hata kama hadumu sisi abiria tutapanda mchina sababu una relax ukiwa ndani ... mbio za nini ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo body zimetengenezwa na Marcopolo na kufungwa injini ya Tata zinaitwa Tata Magma.

Bus za Isuzu,Nissan Diesel zilifanya vizuri na mpaka leo Raha Leo anazo Isuzu na Tawakal naye anatumia Isuzu.
Saizi watu wanachukua basi za mchina sababu ya bei nafuu na machaguo ya vitu vya luxury ndani ya basi kama siti,tv, chaja na friji.
Nissan Diesel ni hatari. Umenikumbusha mabasi ya zamani kama Taofiq, Taqwa, Tawaqali na Simba Mtoto.
 
Higer za upendo bado zipo barabaran, ndo gari pekee anazotumia Iringa-dar,

Yutong za super feo zimepiga root ngumu tu, sidhan kama km 400 za songea-iringa au songea-mbeya ni route nyepes, bado nasimamia kwny suala la matunzo. Hata sauli pamoja na kuwa na 95 scania kama atakua anatembeza gari kila siku bila kupumzisha haziwez kutoboa miaka miwili bila kuweka engine mpya

Sent using Jamii Forums mobile app
Upendo inayotoka Mafinga SAA 1 asbh inafika dar saa 2usiku?
GRi mbovu kabisa
 
Upendo Traveller na Budget za Dar-Mbeya zilikuwa zinakimbiza Sana miaka ya 2009, zilikuwa Moja wapo iwahi kufika Mapema.

Njiani zilitamba Kwa mbio, mpaka kuna kisa kimoja dereva alipigwa na abiria gari ilikuwa inatoka Mbeya kwenda Dar.
 
engine ya Cummin ufanisi wake ni mdogo ukilinganisha na sacania na ndo maana sauli anawakimbiza gari za mchina kwenda juu kusini
Scania itakua juu kivipi sasa huku imeangushwa kimauzo kwny mabasi na malori

Scania ni overrated product, huo ubovu wa cummins ni upi labda? Sa hv umekubal cummins ni mmarekan huku kwny uzi wako ulisema ni ya mchina

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom