EngNicolaus
Member
- Nov 9, 2022
- 27
- 23
Kaka nadhani umeshajua nilichotaka kukisema na moja ya side effects zake ni USO kuwa mweusi due to hyperpigmentation. Binafsi nahisi walimaliza jamaa Kwa hii kitu.ulitaka kusema nini au unaogopa kupotezwa
Nimeikwepa makusudi kabisa ili kutokuleta taharuki.Kuna point mbona kama umeikwepa,
Ni kweli inabidi ihifadhiwe kwenye lead case ili kuzuia alpha particles zisiweze kutoka na kuleta madhara. Hivo usafirishaji ni gharama lakini inawezekana.Polenium 210 kwa mujibu wa wadau wa hapa jf, ni kwamba hii sumu ni hatari hata kwa yule mbebaji. Gharama ya kuinunua ni ndogo kuliko gharama za kuisafirisha.
Swali. KWA NINI LEO HII TUIJADILI HII SUMU?
Kuna maombi yanaendelea kufanywa kimyakimya. Na kawaidaa Mungu huwa anajibu maombi.
Isotope = each of two or more forms of the same element that contain equal numbers of protons but different numbers of neutrons in their nuclei, and hence differ in relative atomic mass but not in chemical properties; in particular, a radioactive form of an element.Kaka nadhani umeshajua nilichotaka kukisema na moja ya side effects zake ni USO kuwa mweusi due to hyperpigmentation. Binafsi nahisi walimaliza jamaa Kwa hii kitu.
Moja ya side effects za polonium ni USO kuwa mweusi Yani kitaalamu hyperpigmentation ya melanin. Sasa toka COVID ianze ni nchi Tatu duniani ziligoma kupokea chanjo ikiwemo Tanzania na Burundi na mpaka kufika July 2021 viongozi wote walifariki katika mazingira ya kutatanisha.Usizunguke, sema hicho ulichotaka.
🤣
That is correct in other words " same atomic number but different mass number"
Sahihi kabisa jasusi ambaye alikua double agent wa KGB alifariki kupitia hii sumu.Hii sumu ndio ilimuua yule jasusi wa kirusi Alexander Litvinenko mwaka 2006.
Share mawazo yako mkuuHaya umenikumbusha kitu.