Fahamu kuhusu Mnyama Panya

Mchapaji

Member
Mar 22, 2010
26
1
Panya wana sifa ya kuzaliana haraka. Katika miezi 18, jike huzaa watoto wanaofikia milioni moja (1).

Kazi kwelikweli.

====================================

Kuna aina tatu za panya nazo ni:

1. Panya aina ya kwanza ni wale ambao wenyewe wakiwa ndani ya nyumba huwa wanakula vyakula mbalimbali au nafaka zilizomo ndani. Hata kama una viroba vya nafaka au unga lazima ukute amefanya yake.

2. Ni yule panya ambaye akiwa ndani ya nyumba yeye hula nguo tu. Hawezi kula nafaka. Hupenda kula nguo ile ambayo huwa unaipenda na anaharibu ile sehemu ambayo ni rahisi kuonekana ukiivaa. Kama ni suruali ataharibu kwenye magoti na sehemu kama hizo.

3. Panya huyu ndio hafai kabisa maana ni aina ya panya ambaye akiwa ndani ya nyumba yeye hali nafaka, vyakula wala nguo. Yeye anakula documents mbalimbali kama vyeti vya shule na vyuo, mikataba mbalimbali nk. Ni panya mbaya kuliko wote maana vyeti kwa waliosoma ni zaidi ya kila kitu.

===================

Rats are very easy to breed. In fact, many people end up with unplanned baby rats! Rats can reach sexual maturity at 5 weeks of age, so the sexes should be separated prior to this age. Rats do not recognize incest, so brothers and sisters and even mothers and sons must be separated.

Rats do not have a breeding season, although very hot or cold temperatures will reduce breeding. Females of breeding age come into heat all year-round, every 4 to 5 days, unless they are pregnant, and even then, they may come in heat once or twice early in the pregnancy. Each female usually has a regular schedule that can be marked on the calendar, but it can vary. Each heat usually begins in the evening and lasts most of the night.

As a female approaches menopause at about 18 months of age, her cycle will become more irregular until it stops completely, and if she is bred during this time, the size of her litters will decrease as her fertility wanes. It is possible for a female who has stopped cycling to get pregnant, although the pregnancy may not develop normally.

It is possible for domestic rats (Rattus norvegicus) to mate with roof rats (Rattus rattus) although the babies will not survive. The embryos will be reabsorbed, aborted, or born dead.
 
Daa uongo mwine bana ni wa dhahiri kabisaa, inamaana kila mwezi anazaa takriban watoto 55,556?

Kweli JF imetoka mbali.....
 
Umenikumbusha mbali sana na hizi panya. Sumbawanga watu wanakula panya za porini! Shimo moja wanakuwa panya zaidi ya 200. Wanakijiji wapo tayari kuchoma msitu kusaka kitoweo.
 
Panya wana sifa ya kuzaliana haraka. Katika miezi 18, jike huzaa watoto wanaofikia milioni moja (1).

Kazi kwelikweli.

Unenichekesha sana kama Yule jamaa alonambia Kwao kuna panya ukimuwekea dagaa na noti ya 500 basi panya anaacha dagaa na kula ile noti, kwa iyo walikua wakishindwa kuwatega kwa sababu wanapenda sana pesa
 
There are people also who breed like these rodent....I know you know them.
 
Kuna aina tatu za panya nazo ni:

1. Panya aina ya kwanza ni wale ambao wenyewe wakiwa ndani ya nyumba huwa wanakula vyakula mbalimbali au nafaka zilizomo ndani. Hata kama una viroba vya nafaka au unga lazima ukute amefanya yake.

2. Ni yule panya ambaye akiwa ndani ya nyumba yeye hula nguo tu. Hawezi kula nafaka. Hupenda kula nguo ile ambayo huwa unaipenda na anaharibu ile sehemu ambayo ni rahisi kuonekana ukiivaa. Kama ni suruali ataharibu kwenye magoti na sehemu kama hizo.

3. Panya huyu ndio hafai kabisa maana ni aina ya panya ambaye akiwa ndani ya nyumba yeye hali nafaka, vyakula wala nguo. Yeye anakula documents mbalimbali kama vyeti vya shule na vyuo, mikataba mbalimbali nk. Ni panya mbaya kuliko wote maana vyeti kwa waliosoma ni zaidi ya kila kitu.
 
Kuna aina tatu za panya nazo ni:

1. Panya aina ya kwanza ni wale ambao wenyewe wakiwa ndani ya nyumba huwa wanakula vyakula mbalimbali au nafaka zilizomo ndani. Hata kama una viroba vya nafaka au unga lazima ukute amefanya yake.

2. Ni yule panya ambaye akiwa ndani ya nyumba yeye hula nguo tu. Hawezi kula nafaka. Hupenda kula nguo ile ambayo huwa unaipenda na anaharibu ile sehemu ambayo ni rahisi kuonekana ukiivaa. Kama ni suruali ataharibu kwenye magoti na sehemu kama hizo.

3. Panya huyu ndio hafai kabisa maana ni aina ya panya ambaye akiwa ndani ya nyumba yeye hali nafaka, vyakula wala nguo. Yeye anakula documents mbalimbali kama vyeti vya shule na vyuo, mikataba mbalimbali nk. Ni panya mbaya kuliko wote maana vyeti kwa waliosoma ni zaidi ya kila kitu.
pia kuna wale wanaokula kucha tu huku wakipuliza na wale wale wanaokula vifungo tu mwisho ni wale wanaojipitisha pitisha wakiona wageni
 
na mie ncheme aina nyingine,wanaitwa wahida hawa huishi porini na hutoka usiku kutafuta chakula,na watamu kwa chakula.karibu ntwara
 
Back
Top Bottom