CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,950
- 9,509
Mkuu, maswali ya msingi kabisa kutoka kwa Mawere na Singo. Ongeza na hili: Utaratibu wa oda utakuwaje? Sisi wateja watarajiwa wa Mikoani (niko Meatu, Simiyu) tutapata vipi huduma?
Kama hutajali, ukizingatia kuwa ni Mdau Kiongozi wa Jukwaa hili, kwa haya achana na pm weka mambo hadharani. Asante!
utagaji wake max ni mayai mangapi?
Mkuu samahani nikiwa Dodoma kwenye duka la Dk Mapusa nika ambiwa kuwa SASSO ni wanyama
Sasa unaposema kuwa ni kienyeji umeniacha mnoo.
Namba yako ya simu ndo ile ya tigo uloweka kule?ninao 200 kwa ajili ya kuwauza dec nawafuga kwa ajili ya kuliwa nyama
Inawezekana kabisa kufugwa hata kijijini. Watafute umpelekee bibiMkuu hapa Dar wanapatikana wapi..?
Na je naweza kumnunulia bibi yangu wa pale Kerege ili afuge kama vile wanavyofugwa wa kienyeji halisi..?