CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,950
- 9,510
Acha kuwaambia vitu vya Kufikirika mkuu. Soko liko Kenya? Hahahaa una uhakika? Unaweza kuja na Data za hilo Soko ambalo Unaweza uza Kenya?Mikoa inayositawisha vizuri strawberry ni Iringa na Morogoro,lakini unaweza kufanya utafit hata hapo ulipo,maana inastawi vizuri kwenye maeneo ya mwinuko,1500m
Soko kubwa sana lipo Kenya,lakini hata hapa Tanzania bado strawberry inalipa,ni miezi 2 tu tangu uanze kuandaa utakuwa umeanza kuvuna,siwadanganyi,unaweza kujifunza zaidi kuihusu
Mbona soko la maua Arusha lipo kenya? papai pia,kwenye ukweli lazima tukubaliAcha kuwaambia vitu vya Kufikirika mkuu. Soko liko Kenya? Hahahaa una uhakika? Unaweza kuja na Data za hilo Soko ambalo Unaweza uza Kenya?
Halafu na kenya wao wauze wapi?
True, hahahahaha, haya mambo haya yanahitaji uchunguzi wahali ya juu kabla MTU hujachukua hatua ya imani,Haya mambo ya kilimo cha paipai kinalipa, leo utackia mapera, kesho ufugaji wa kunguru unalipa lazma uingie kwa akili ukiingia kwa pupa tu unakula za uso
mimi niliona iringa karibu na mafinga kuna mzungu analima paleTz ni mikoa gani zinalimwa
mimi niliona kilimo hicho iringa karibu na mafinga kuna mzungu analima pale tena ukitaka unaweza kwenda kujifunza pasipo malipoTz ni mikoa gani zinalimwa
Wazazi wangu wanalima Arusha ila kilimo cha greenhouse na wanauza Tz kwani kunasoko zuri tuu la zao husika,Mwanzo walikuwa wanapeleka Kenya ila sasa wanauzia hapahap TzAcha kuwaambia vitu vya Kufikirika mkuu. Soko liko Kenya? Hahahaa una uhakika? Unaweza kuja na Data za hilo Soko ambalo Unaweza uza Kenya?
Halafu na kenya wao wauze wapi?
Kwa Arusha kilo moja in elfu 8 mpaka elfu 10Mkuu, tuwekee bei ya sokoni.
Mti mmoja unachukua muda gani mpaka kuanza kuzaa?Kwa Arusha kilo moja in elfu 8 mpaka elfu 10
Si kweli. Kenya ni njia tu ya kusafirishia na nimeiweka sababu Nairobi na Arusha ni masaa manne tu unakuwa airport. Sababu kubwa ni Kenya wana international flight nyingi.Mbona soko la maua Arusha lipo kenya? papai pia,kwenye ukweli lazima tukubali
Arusha bei ni 3,500/= kwa 250g. Lakini wanunuzi wakubwa zaidi hununua kwa 10,000/= tu kwa kilo. Hiyo ni Arusha.Bei ya strawberry inategemea na soko,ila bei ya kufikia kwa soko la dar na arusha,kilo ni elf 30-50
Siyo mbaya,maana yake 4kg unapata kama elf 40, na unauhakika wa kuvuna mara 3 kwa wiki sawa na 120000/= kwa wiki!!Arusha bei ni 3,500/= kwa 250g. Lakini wanunuzi wakubwa zaidi hununua kwa 10,000/= tu kwa kilo. Hiyo ni Arusha.
Nice[emoji123]Follow this link to join KILIMO FORUM WhatsApp group: WhatsApp Group Invite FORUM