FAHAMU KUHUSU KIDONO: Dawa ya kienyeji inayozuia risasi, panga, shoka, kisu na nondo; havipenyi mwilini kamwe

Kidono ni dawa ya siku nying san hasa kw watu wa mwambao wa ziwa Tanganyika
Kabla ya kubisha, jaribu kutaka kujua
Nje ya wembe na sindano, hakuna kifaa cheny ncha kali kinaweza kuingia mwilini mwa mtu mweny kidono
Nenda Kigoma utajulishwa

Hata wembe na sindano vitapenya endapo vitatumika kwa nia njema, ila ukienda na sindano au wembe kwa lengo la kumdhuru havitapenya, nimeshahudia Sana nikifua wembe ukiwa mfukoni unakatika, sio mara 1 wala 2
 
Kule pwani kuna nyingine ya kutoonekana jina limenitoka kidogo hiyo ni kijit flani unachanjiwa dawa yake basi unakua unakitafuna hapo unakua na uwezo wa kutoonekana mbele ya maadui zako mfano umevamiwa na majambazi hii story niliipata kwenye vijiwe vya ghahawa maeneo ya pemba mnazi kigamboni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom