princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,687
- 19,358
- Thread starter
-
- #21
Niko na maswali mengi sana kuhusu haya mambo..Hata mie kanikumbusha mbali,kuna mchangiaji hapo kaelezea kuhusu mkopo wa silaha.
Ngoja nitiririke na mimi navyoelewa[emoji3][emoji3]
Mmarekani ambae katika vita ya kwanza ya dunia hakushiriki kabisa,hivyo akaanza kujikita katika utengenezaji wa silaha mbalimbali baada ya vita ya kwanza ya dunia.
Baada ha kuona chokochoko zinaanza za kupelekea vita ya pili,mmarekani alizidisha production ya silaha,na baada ya vita kuanza akaanza kutoa mikopo kwa wale waliounga ushirika na mbritish,lakini pia alitoa mikopo ya chakula baada ya nchi zao kupigwa na kuharibiwa vibaya kwa sababu ya WW2.
So,aliamua amchape mjapan baada ya kuona wale aliowakopesha wakifirigiswa moja kwa moja mikopo haitorejeshwa na atapata pigo kubwa kiuchumi na kuanguka kwa sababu ali invest pesa ndefu katika production ya silaha na vyakula kwa ajili ya nchi zinazo pigana WW2.
Na baada ya kuwanyamazisha Japan ambao walikuwa wanakuja kwa kasi katika vita ile mtaona hata washirika kama mjerumani waliishiwa nguvu na ku surrender.
WW2 na bomu hili lilichangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa uchumi wa USA na hili likapelekea taifa hili kuwa kubwa lenye uchumi mkubwa na ku fall kwa great british as a leading nation.
Sio hiroshina na nagasaki peke yao..Niko na maswali mengi sana kuhusu haya mambo..
hivi mkuu Ni hiroshima na nagasaki tu ndio viliathiriwa au mpaka na maeneo ya jirani kulifikiwa na athari endelevu kama kensa?
athari bado zipo niliona documentary flani ya wajapan wakitembelea maeneo ya karibu na mlipuko walikuwa wanatembea na radiation detectors ili kutambua kiasi cha miale ya nyuklia iko kiasi gani kama iko juu hawafiki yale maeneo na hata maji hawagusiSio hiroshina na nagasaki peke yao..
Athari nasikia bado zipo according to the teachers particulary history. Sijawahi fuatilia katika mitandao now days
hahaha na umetuvuta kweli [emoji1][emoji1]sawa Mkuu
ila ukiuliza watu wanakupita,bora niandike kichwa cha habari cha kuvutia
na ile movie ya "Hills have eyes" nimeona wameelezea madhara ya mionzi ya nyuklia.Ile history ni essence ya kuwa na mawazo ya "wrong turn" movies, au zombies, kwamba what if wale deformed wanaevolve kuwa against human race........ Just thinking without alcohol
mkuu kama ukiziona ambatanisha hapa basiathari bado zipo niliona documentary flani ya wajapan wakitembelea maeneo ya karibu na mlipuko walikuwa wanatembea na radiation detectors ili kutambua kiasi cha miale ya nyuklia iko kiasi gani kama iko juu hawafiki yale maeneo na hata maji hawagusi
pili fuatilia ile milipuko ya vinu vya kufulia umeme japani zipo documentary zake
ni nzuri na inatusha piana ile movie ya "Hills have eyes" nimeona wameelezea madhara ya mionzi ya nyuklia.
Hata mie kanikumbusha mbali,kuna mchangiaji hapo kaelezea kuhusu mkopo wa silaha.
Ngoja nitiririke na mimi navyoelewa[emoji3][emoji3]
Mmarekani ambae katika vita ya kwanza ya dunia hakushiriki kabisa,hivyo akaanza kujikita katika utengenezaji wa silaha mbalimbali baada ya vita ya kwanza ya dunia.
Baada ha kuona chokochoko zinaanza za kupelekea vita ya pili,mmarekani alizidisha production ya silaha,na baada ya vita kuanza akaanza kutoa mikopo kwa wale waliounga ushirika na mbritish,lakini pia alitoa mikopo ya chakula baada ya nchi zao kupigwa na kuharibiwa vibaya kwa sababu ya WW2.
So,aliamua amchape mjapan baada ya kuona wale aliowakopesha wakifirigiswa moja kwa moja mikopo haitorejeshwa na atapata pigo kubwa kiuchumi na kuanguka kwa sababu ali invest pesa ndefu katika production ya silaha na vyakula kwa ajili ya nchi zinazo pigana WW2.
Na baada ya kuwanyamazisha Japan ambao walikuwa wanakuja kwa kasi katika vita ile mtaona hata washirika kama mjerumani waliishiwa nguvu na ku surrender.
WW2 na bomu hili lilichangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa uchumi wa USA na hili likapelekea taifa hili kuwa kubwa lenye uchumi mkubwa na ku fall kwa great british as a leading nation.
intrusted..you may continue
wewe ni kilaza kweli. mtegemea cha ndugu. hufa masikiiniEiyer naomba utuchambulie hili kwa jicho la tatu..
wewe ni kilaza kweli. mtegemea cha ndugu. hufa masikiini
Sio kweli bomu la nyuklia haliigeuzi ardhi juu chini labda hydrogen bomb (if im not mistaken).Endelea Mtaalam,
Nami eti nilisikia kuwa Bomu hilo liligeuza sehemu ya aridhi, udongo ukaenda chini miamba ikaja juu (upside down)
[emoji120] thank you sir,kanikumbusha mbali najihisi kurudi tena darasani.You have earned my respect madam.
I wish.
[emoji120] thank you sir,kanikumbusha mbali najihisi kurudi tena darasani.