Fahamu kuhusu cctv surveilance na faida zake kiuchumi na jamii

Marketer

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
261
55
HABARI WANAJAMVI?

Leo napenda kuwashauri kuhusu kutumia cctv n surveilance.

cctv and surveilance ni nini?
Hii ni system inayounganisha security camers, na dvr ambapo mtu aneweza kuona maeneo yote camera zilipo akiwa kwenye chumba cha control.

Kwanini unahitaji cctv and surveilance?

Majumbani
Hii itakupa ulinzi wa uhakika kwa nyie wenzetu wenye mijieneo mikubwa majumbani mwenu, mtu mmoja una heka zako mia, sasa ukifunga cctv mlinzi anakaa getini anona heka zote mia mara moja sio mpaka apige round.

Wale wenye mabinti zenu akitoroka akmuhonga mlinzi pesa we ukija kucheki unamuona tu kwenye cctv asubuhi

Wale mliowekwa wanted na wadeni, au na yeyote, msafara ukija nyumbani unauona toka mbali na kufanya maamuzi magumu kabla, kuliko kustukizwa.

Maofisini
Kama una kiwanda chako inakusaidia kuona, nani mdokozi, mlinzi gani anakula rushwa, nani analala saa za kazi, nani anaongea ongea sana, unafunga camera zako maeneo unayotilia shaka baaaasi! umemaliza

Supermarket/Mijiduka mikubwa
Hii itakusaidia kuona wateja wanaokuchakachua, na pale mapokezi akikwambia leo sijauza unacheki tu cctv yako unona nyomi ya watu wametia timu na kulipa.

Mnaopangisha Apartments/mijumba
Hii itawasaidia kuwaasure wateja kwamba nyuzi 360 zinaulinzi wa uhakika.

Bei zetu ni affordable na karibuni sana.

CLOSED CIRCUIT TELEVISION - CCTV PRICE LIST S/N DESCRIPTION MTC UNIT
PRICE
TZS
DIGITAL VIDEO RECORDER (DVR)
1.0 16 Channel DVR System with 1TB Hard Disk Storage Media 965,000.00
2.0 16 Channel DVR System with 500GB Hard Disk Storage Media 740,000.00
3.0 8 Channel DVR System with 1TB Hard Disk Storage Media 825,000.00
4.0 8 Channel DVR System with 500GB Hard Disk Storage Media 650,000.00
5.0 4 Channel DVR System with 1TB Hard Disk Storage Media 520,500.00
6.0 4 Channel DVR System with 500GB Hard Disk Storage Media 410,400.00
CAMERAS
1.0 Outdoor Cameras 15 – 80m range with night vision capability 510,000.00
2.0 Outdoor Cameras 20 – 60m range with night vision capability 425,000.00
3.0 Indoor Rotating Cameras 25 - 50m range with night vision capability 1,300,000.00
4.0 Indoor Rotating Cameras 25 - 50m range WITHOUT night vision capability 850,000.00
5.0 Indoor Cameras 25 - 50m range with night vision capability 250,000.00
6.0 Indoor Cameras 25 - 50m range without night vision capability 180,000.00
STORAGE MEDIA
1.0 500GB HDD Storage Media 160,000.00
2.0 1T HDD Storage Media 240,000.00
POWER SUPPLY UNITS
1.0 16 Ways Power Supply Unit 150,700.00

ContactsEmail: sales@microtelecomms.com Tel: +255 (22) 2461678
Website: Microtelecomms-MTCMob: 0756323213/+255 787 289245
 
Mkuu Asante kwa kutuelimisha. Kwa Ulimwengu wa sasa na kama una uwezo CCTV ni muhimu kupita kiasi. Naomba uniambie nikihitaji camera nne outdoor 20-60 range with night vision capability bei yake inakuwaje?

Asante kwa majibu.

Tiba
 
Wewe mbona unaleta topic halafu unaikimbia? Hebu njoo ujibu hoja Bwana!!!!

Tiba
 
Mkuu Asante kwa kutuelimisha. Kwa Ulimwengu wa sasa na kama una uwezo CCTV ni muhimu kupita kiasi. Naomba uniambie nikihitaji camera nne outdoor 20-60 range with night vision capability bei yake inakuwaje?

Asante kwa majibu.

Tiba

Mkuu bei hizo hapo per peace, zidsha tu, jumlisha na ya dvr, power box ushapata jibu
 
Mkuu bei hizo hapo per peace, zidsha tu, jumlisha na ya dvr, power box ushapata jibu

Nafikiri jamaa aliyeuliza anahitaji ufafanuzi zaidi ya jibu fupi kama hilo.
Kwa mfano mimi nimeelewa hivi; nikitaka item # 6 kutoka jedwali la kwanza(DVR) nitalipa Tshs.410,400/=, kisha item # 2 kutoka jedwali la pili (camera) nitalipa Tshs. 425,000/=, na item # 1 kutoka jedwali la tatu(HDD) nitalipa Tshs. 160,000/= then power supply Tshs. 150,000/=. Jumla kuu inakuwa 1,146,100/=. Je nipo sahihi mkuu?
 
Mkuu bei hizo hapo per peace, zidsha tu, jumlisha na ya dvr, power box ushapata jibu

Mkuu mbona unarahishisha mambo? Kwenye list ameonyesha bei ya camera mbili, mimi nimeulizia bei ya camera nne wewe unaniambia nijumlishe tu na kuzidisha. Sidhani kama ni suala la kuzidisha na kujumlisha tu, unajuaje kuna discout mtu akichukua camera nne badala ya mbili zilizotangazwa hapo?

Tiba
 
Nafikiri jamaa aliyeuliza anahitaji ufafanuzi zaidi ya jibu fupi kama hilo.
Kwa mfano mimi nimeelewa hivi; nikitaka item # 6 kutoka jedwali la kwanza(DVR) nitalipa Tshs.410,400/=, kisha item # 2 kutoka jedwali la pili (camera) nitalipa Tshs. 425,000/=, na item # 1 kutoka jedwali la tatu(HDD) nitalipa Tshs. 160,000/= then power supply Tshs. 150,000/=. Jumla kuu inakuwa 1,146,100/=. Je nipo sahihi mkuu?

Mkuu, umesema vizuri sana. Kwa aina ya camera nilizozipendelea mimi ameonyesha quoatation ya camera mbili. Mimi nimeuliza kama mtu anataka nne badala ya mbili bei inakuwaje? Ni suala la kuzidisha mara mbili au bei inapungua kidogo? Najua kwamba camera peke yake haikamilishi set ya CCTV, lazima uchukue na hivyo vitu vingine kama ulivyovitaja hapo juu.

Tiba
 
Naomba unijulishe hizi DVR ni Brand gani, OS gani zinatumia (Windows au Linux) pia ina support Video Compression gani.
 
Back
Top Bottom