Fahamu kuhusu biashara ya kuuza nazi pamoja na uwepo wa masoko

Unataka kuuzia wap moja...mbili unataka kuuza kwa reja reja ama jumla yapo maeneo mengi kuanzia kigamboni ...uko kimbiji kuna Nazi nying bei ya jumla sh 300/...ukisogea mkuranga Nazi kibao hazina soko n wew na solo kubwa LA Nazi lipo singida..kahama..tabora..shinyanga..mwanza..musoma...Dodoma..kote Nazi n deal beh ni kuanzia sh 1000_1500... Karibu graduates ajira n maono yako
 
Mkuu kuna mengi ambayo nahitaji kufahamu kuhusu hii biashara
Dhumuni langu ni kuchukua nazi chimbo huko ila sifahamu ni wapi nitazipata mimi ni mkazi wa Dar na swala la kuuza ningependa kuuza kwa bei ya jumla ili mzigo uishe haraka kisha niingie tena chimbo
Msaada wa maelezo tafadhali.
 
Kabla hujaandika uzi wa kuuliza kitu humu JF search kwanza.

Humu upo uzi wa biashara ya nazi....utafute.
 
Jee kupeleka nazi tabora,kahama?soko vp kwa mliopo huko?maana dar ilala kikopwa kwingi
 
Jee miezi gani nazi hupatikana kwa wingi pangani,pwani ya kuelekea mombasa na mafia?
 
Habari za majukumu ndugu zanguni wa bara kote kwa ujumla.
Uzi huu ulipotea kiasi fulani ila napenda kuwauliza tena wale ndugu zangu wanaotoka mkoa wa Tanga vipi mishe zinaendeleaje kuhusiana na nazi?

Nimefufua tena uzi huu baada ya kuona nazi zimekuwa adimu na kupanda bei sana kisiwani Zanzibar. Je wenyeji wa mkoa wa Tanga huko ziko? Na kama ziko naomba tuendeleze biashara kuanzia sasa.

Kipindi kile nilikua sina mda kwa kuwa nilikua mbali na Zanzibar ila kwasasa nipo rasmi kwa uwezo wa Mungu mpaka atakapopanga tena kuondoka kwenda mkoa mwingine.

Pia niwakumbushe kwa wale wote walionifata PM kuhusiana na hili. Mjiandae sasa kama huko ziko tuanzishe mchakato. Niwatakie asubuhi njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara ya kutoa Nazi Mafia ina faida but inategemea na Msimu pia ni Vizuri ukawa na mtaji Angalau kuanzia 1 million kuendelea....

But ina changamoto Zake, zikiwemo Madalali na changamoto ya usafiri kutumia Majahazi.
Asante bei huko mafia kwa sasa ikoje na bei ya sokoni ikoje? ni msimu gani unafikiri ni mzuri kuanza
 
Asante bei huko mafia kwa sasa ikoje na bei ya sokoni ikoje? ni msimu gani unafikiri ni mzuri kuanza
Mimi nilifanya Zamani.... Sijui bei kwa Sasa ikoje....

Ila kwa kipindi cha kawaida, Bei huanzia 150 - 200 kwa kila Nazi moja.....

Kipindi kizuri ni kipindi cha week kadhaa kabla ya Idd au sikukuu za Kiislam.... Na wakati wa mfungo wenyewe... Ila kama Una soko la uhakika , then muda wote....

Ila Madalali Ndo Wazinguaji wanaweza kukufilisi usipokua Makini.
 
Back
Top Bottom