Fahamu jinsi ya kupata unit feki za umeme (token) bila malipo

Baba Heri

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
1,503
2,222
Ndugu mtanzania mwenzangu, najua unapenda sana vitu vya dezo, ila katika utawala huu itakubidi tu ulipie umeme kadri unavyoutumia. Watanzania tufanye khaazi (in John's voice)
 
Ndugu mtanzania mwenzangu, najua unapenda sana vitu vya dezo, ila katika utawala huu itakubidi tu ulipie umeme kadri unavyoutumia. Watanzania tufanye khaazi (in John's voice)
Wewe ni kiazi kweli Kama baba j.
 
Jamani kama kuna mdau anamfahamu amfunge kamba amuwahishe mirembe. Maana hiyo hali imekua mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…