I was happy to show you guys this tutorial awhile ago!
Kuna gharama unalipia unaponunua bidhaa sema tu haionekani kwa wateja kama VAT isivyoonekana. Fanya kautafiti utagundua!Does PayPal charge me?
There's no charge to open a PayPal account and also there is no charge to purchase items using your PayPal account.
Je pia inaweza kutumia exim bank au equity?
Na ikiwa hivi na hizo documents umetuma tunafanya je na hii ni wiki ya 2? We have disabled the use of this card on PayPal. You can add a different card. If you'd still like to use this card with PayPal. nisaidie plz
hii inatoka kwenye website ya paypal but leo wametuma mail wana sema card statement hapo hoi sijui naipata wapiHiyo message inatokwa nani? website ya PayPal au wamekutumia kutoka Bank?
Mkuu nimefungua paypal tarehe 4/11 ila nimeenda leo bank kuchukua statement sijaona hizo code 4 nipe mwongozo