Wakili
JF-Expert Member
- Jun 19, 2017
- 531
- 657
Damu ni muhimu sana katika mwili na ni chombo kinachotumika kukabiliana na magonjwa.Katika damu yapaswa iwe katika ph level ya7.0, ambayo ni alkaline. Hivyo ili mwili ukabiliane na magonjwa yakupasa umeintain ph level ya damu isiwe below 7.0 ambayo itakua ni acidic.
Asanteni nakaribisha maswali.
Asanteni nakaribisha maswali.
