Fahamu jina na wimbo na mwimbaji wake kwa kutumia program - android

ymollel

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
3,095
Reaction score
2,294
Kuna Application ya android/pc inaitwa "Shazam" hiyo unaifungua then unaisogeza simu/laptop karibu na speaker ya redio au computer , then baada ya sekunde chache itaonesha nani aliyeimba, jina la wimbo , album ya huo wimbo pamoja na picha ya cover.

9k=
 
Daa kaka asante kwa kushare mkuu
hyo shazam tumetokanayo symbian

nilizan ni nyingne inayoweza tambua wimbo ninao imba mim

.

If you are on Android 4.1+ (I believe) you don't need any app, google now and google voice search has built in support for sound search, just press the microphone on the search widget or in google now and let it listen to the music then itakupa results...
 
MKUU TOA MAELEZO YA KUTOSHA HIVI NI KILA MWIMBO HATA ZA KIBONGO???
Shazam recognizes music and media
playing around you. Tap the Shazam
button to instantly match, and then
explore, buy and share. You can
Shazam as much as you want!
Once you’ve Shazamed something,
you can:
○ Buy tracks on Amazon MP3 or
Google Play
○ Available for all Android tablets
○ Watch the videos on YouTube
○ See what your friends have
Shazamed
○ Use LyricPlay to sing along to
streamed lyrics
○ Listen to the music you Shazam in
Rdio or Spotify
○ Check out the artist’s bio and
discography
You can also
○ Preview and save your favourites
○ Share what you Shazam on Twitter,
Facebook & Google+
○ Shazam even when you don’t have
any coverage; Shazam will match
when you have a connection and get
back to you with the result
○ Shazam from your phone’s home
screen with the Shazam Widget
Upgrade to Shazam Encore for the
Shazam experience without the
banner ads.
Notes:
* Previews available: US, UK, DE, FR,
CH, AT
* Lyrics and LyricPlay available: US,
CA, UK, FR, IT, DE, ES, AU, NZ.
* Spotify available: AU, BE, CH, DE, IE,
IT, NZ, PL, UK, US
* Shazam supports devices with
cellular connection
MIPS devices are not supported
 
Daa kaka asante kwa kushare mkuu
hyo shazam tumetokanayo symbian

nilizan ni nyingne inayoweza tambua wimbo ninao imba mim

.
.

Tumia sound hound
 
Mkuu hizi apps huwa sizipendi, eti sijui shazam au soundhound, hizi apps wamejipendelea wazungu tu we kama ni mpenzi wa nyimbo za akina diamond wala usisumbuke na hizi apps

Lakini nyimbo yoyote ikishakuwa popular inatambulika. Nyimbo za prof j. Lady jay dee zipo. Ila za akina diamond na akudo..... sijui
 
Tangu nianze kutumia hizi apps mi binafsi sijawahi ona wala kukutanza na nyimbo za wabongo hata hawa unaowataja
 
wale wa Sony tuna built in program inaitwa track id
 
Tangu nianze kutumia hizi apps mi binafsi sijawahi ona wala kukutanza na nyimbo za wabongo hata hawa unaowataja

.
.
waheed hzo apps nyngne sijawahi tumia..
.
Ila SHAZAM mim nilianza na wimbo wa CHRISTINA SHUSHO... lengo langu niwajaribu tu.. Ki2 kikaja kama kawaida.. Sasa unaposema hayo kwenye red Nakua sikuelew sijui n app gan umewah 2mia

Mkuu mi natumia shazam na soundhound, nina nyimbo za kibongo zaidi za 2000+ kwenye simu yangu na nyimbo 3000+ za majuu lakini hizi app hazijawahi ku-detect nyimbo yoyote ya kibongo zaidi ya hizi za majuu, kama kuna setting huwa nakosea hebu nielezeni nifanye ili nione hata radha ya hizi apps
 
If you are on Android 4.1+ (I believe) you don't need any app, google now and google voice search has built in support for sound search, just press the microphone on the search widget or in google now and let it listen to the music then itakupa results...

nasikia kuna Google smell. ..yenyewe ina detect harufu then inasema ...mfano rose...je ni kweli hiyo mdau???(
 
google smell ilikuwa prank ya april fools. ila nilisikia jamaa watatengeneza kitu km icho
 
Mkuu hizi apps huwa sizipendi, eti sijui shazam au soundhound, hizi apps wamejipendelea wazungu tu we kama ni mpenzi wa nyimbo za akina diamond wala usisumbuke na hizi apps

Kuna baadhi nying tu za kiafrica shazam inazipata mfano za ki nigeria na kisouth na hata tanzania jaribu shazam nyimbo za fid q utaona
 
Mkuu mi natumia shazam na soundhound, nina nyimbo za kibongo zaidi za 2000+ kwenye simu yangu na nyimbo 3000+ za majuu lakini hizi app hazijawahi ku-detect nyimbo yoyote ya kibongo zaidi ya hizi za majuu, kama kuna setting huwa nakosea hebu nielezeni nifanye ili nione hata radha ya hizi apps

.
waheed
sijawahi jaribu SHAZAM toka niamie Android... Ndo mana hata mwanzisha thread nimemwambia SHAZAM tumetoka nayo symbian..
.
kipind natumia NOKIA E5 ndpo nilitumia sana SHAZAM na ika detect nyimbo nyng tu za kibongo hata jamaa wa N73 nao niliona inapiga kaz .......... KAma iliweza detect Wimbo wa Shusho basi ni maajabu kushndwa wa Diamond..
 
.
.
waheed hzo apps nyngne sijawahi tumia..
.
Ila SHAZAM mim nilianza na wimbo wa CHRISTINA SHUSHO... lengo langu niwajaribu tu.. Ki2 kikaja kama kawaida.. Sasa unaposema hayo kwenye red Nakua sikuelew sijui n app gan umewah 2mia
.
.

Usiandikie mate jaribu sasa hivi. Mimi nimejaribu kuna nyimbo za kibongo zipo. Pengine hatujui jinsi shazam inavyofanya kazi. Ni kwamba inaCompare spectrum uliyoisikilizisha na ile ya wimbo uliopo mtandaoni. Kama nyimbo haipo kwenye website kubwa kama vile youtube basi haitatambulika
 
Back
Top Bottom