Fahamu ingredients zilizopo ndani ya toothpaste kupitia color codes

tilmikha

JF-Expert Member
Feb 27, 2013
496
604
Wengi wetu tumekua watumiaji wazuri wa dawa za kusaidia kusafisha meno ila ni wachache mno ambao wanajua kilichomo ndani ya dawa hizo.

Dawa za msuaki/meno huwa zina alama ya rangi mwishoni na wala hazijawekwa kwa bahati mbaya wala kwasababu ya kuipamba dawa husika. Zifuatazo ni rangi husika zitumikazo na maana yake juu ya kilichomo ndani ya dawa husika.

Black color: Rangi hii humaanisha ingredients zote zilizopo ndani ya dawa husika ni chemical tupu.

Red color: Hii humaanisha ingredients zilizomo ni chemical na natural.

Blue color: Hii ina maanisha ingredients zilizomo ni natural pamoja na dawa (medicinal)

Green color: Hii ina maanisha kuwa ingredients zote zilizomo ni natural.

Ipi bora kuitumia zaidi?

Kumekuwa na mjadala mkali sana baina ya kongamano la wanasansi na wanazuoni juu ya ubora wa toothpaste, ila wengi wanashauri mtu kutumia dawa yenye natural ingredients.

Ahsante.
 
Back
Top Bottom