Fahamu immobilizer system kwenye gari

Out of topic!nataka kubadilisha funguo na ikiwezekana vitasa vyote vya milango vya gari yangu inawezekana boss ...

Usihofu mkuu.....hii inawezekana kabisa na tena wenzangu wanafanya bure. Ni hivi; nenda kalipaki gari lako pale Kinondoni Morocco au Makaburini kisha nenda kwenu ukalale. Ukirudi asubuhi utakuta gari lako katika hiyo hali uliyotaka au zaidi ya hapo.
 
Ni kweli kwani hata nami nina wasiwasi na uwepo wa hii kampuni kwa sababu mara nyingi unakuta wezi wa magari yetu ni hawa hawa. Kikulacho ki maungoni mwako, always.
kabla hujasema hivyo mkuu jipe home work ya kuelewa nn maana ya immobilizer na kazi yake hasa ni nn?? kumbuka kuwa immobilizer haizuii kuibiwa vifaa vya gari lkn inazuia kuibiwa gari na funguo ya kuchonga isiyokuwa na sensor'
 
Ni kweli kwani hata nami nina wasiwasi na uwepo wa hii kampuni kwa sababu mara nyingi unakuta wezi wa magari yetu ni hawa hawa. Kikulacho ki maungoni mwako, always.

Kwanza ningependa nikurekebishe hio sio kampuni, ni ofisi ya kawaida inajihusisha na utengenezaji wa vifaa vya umeme wa magari(computerized vehicles), na iko na lesen ya kazi hizo, afu ongea kitu ukiwa na uhakika nacho,ofisi yetu iko magomeni mapipa kama utahitaji kuhakiki uwepo wa ofisi yetu.
 
kabla hujasema hivyo mkuu jipe home work ya kuelewa nn maana ya immobilizer na kazi yake hasa ni nn?? kumbuka kuwa immobilizer haizuii kuibiwa vifaa vya gari lkn inazuia kuibiwa gari na funguo ya kuchonga isiyokuwa na sensor'

Nafikiri unajisema mwenyewe hapa...Sikusema immobolizer haizuii vifaa vya gari kuibiwa, soma tena majibu yangu. Nimesema 'MAGARI" yetu mara nyingi yanaibiwa na haya makampuni maana utakuta wanatengeneza extra copies without your knowledge, mwisho wa siku gari ulioni ulikolipaki.
 
Kwanza ningependa nikurekebishe hio sio kampuni, ni ofisi ya kawaida inajihusisha na utengenezaji wa vifaa vya umeme wa magari(computerized vehicles), na iko na lesen ya kazi hizo, afu ongea kitu ukiwa na uhakika nacho,ofisi yetu iko magomeni mapipa kama utahitaji kuhakiki uwepo wa ofisi yetu.

Vyote ni sawa kampuni au ofisi kwani wote mnatengeneza hizo funguo.
 
Vyote ni sawa kampuni au ofisi kwani wote mnatengeneza hizo funguo.

Funguo hatutengenezi tuanafanya Programming ya sensor pekee(mfano hapo chini kwenye picha),na tukikuoa funguo tunakupa mpya ambao haijachongwa customer ndo ataenda kuchonga mwenyewe
eb1682992eed724c1b05b0f663c2f8c6.jpg
 
Je inawezekana kufanya tracking ya gari kwenye simu kwa kutumia mfumo huo wa Immobilizer?

Hapana,tracking ni mfumo mwingine unsjitegemea ambao unakua na vifaa vyake vya kuweka kwenye gar ili uweze ku track
 
Back
Top Bottom