Hawajitambui hao .... Achana nao ucumize kichwaBaada ya kujadili maendeleo ya taifa unajadili maendeleo ya watu very fool!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hujui mkuu? Diamond karanga ni mali ya Mhindi na iko muda mrefu. Kilichobadilika ni rangi ya kifungashio kwani zamani ilikuwa njano, na katika kutumia mbinu ya marketing amemtumia Naseeb a.k.a Diamond kufanya promoshen. Makubaliano yao hatujui.
Bwana weee kwani mtu huwezi filisika ukauza kampuni akanunua mwingine akaendeleza?Kwani hujui mkuu? Diamond karanga ni mali ya Mhindi na iko muda mrefu. Kilichobadilika ni rangi ya kifungashio kwani zamani ilikuwa njano, na katika kutumia mbinu ya marketing amemtumia Naseeb a.k.a Diamond kufanya promoshen. Makubaliano yao hatujui.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hukubali? Basi tusipoteze muda.Bwana weee kwani mtu huwezi filisika ukauza kampuni akanunua mwingine akaendeleza?
Kumbe makubariano yao huyajui? Sasa kwanini unaandika kitu as if una hakika wakati unakiri kuwa makubariano yao huyajui?Kwani hujui mkuu? Diamond karanga ni mali ya Mhindi na iko muda mrefu. Kilichobadilika ni rangi ya kifungashio kwani zamani ilikuwa njano, na katika kutumia mbinu ya marketing amemtumia Naseeb a.k.a Diamond kufanya promoshen. Makubaliano yao hatujui.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunasikiliza yeye na management yake walichokisema.Dai jamani kafanya tangazo tu Wa Tanzania wazito kuelewa au mmeamua kujitoa akili... kama vile anavyo I promote Voda so nayo ni yake
Tunasikiliza yeye na management yake walichokisema.
Kabla ya hata kuzindua hizo bidhaa walisema watazindua bidhaa flani na flani.
Voda inajulikana kuwa ni tangazo, coca inajulikana kuwa ni tangazo.
Kwanini hatukusema kuwa ile tomato sauce yake? Ni kwasababu hakusema kuwa ni yake ila karanga before hata hajazizindua sallam sk alisema kuwa ni product ya msanii wake
Mkuu usiseme watz sema hata vyombo vya habari navyo vimeripoti hivyo sasa naanzaje kubisha kama yeye kasema na media zimesema.Ooh product yake
Uchawi namna gani, nimefikiria nje ya box sasa anahitaji tani 100 kwa mwezi, unadhani ni mwenzako?nimempa big up hamna wivu hapo mama wwMmeshaanza uchawi!
Hao watu wanaitwa snart undustry ndio wanaotengeneza chama, japo kuwa makubaliano yao hatujui lakini ukitumia ubongo vizuri utajiuliza, kabla ya diamond zilikuwa zinauzwa 200 ila alivyoingia naseeb zinauzwa 300! Na pia kwa nini WCB team wana play part kunwa sana kwenye distribution? Yaani hata mikoani kuna watu wao wanapokea oder? Kufananisha hii na tangazo alilolifanya voda ni mapungufu ya kufikilia.Kwani hujui mkuu? Diamond karanga ni mali ya Mhindi na iko muda mrefu. Kilichobadilika ni rangi ya kifungashio kwani zamani ilikuwa njano, na katika kutumia mbinu ya marketing amemtumia Naseeb a.k.a Diamond kufanya promoshen. Makubaliano yao hatujui.
Sent using Jamii Forums mobile app