Fahamu haya machache kuhusu Starboy (Wizkidayo)

hassandilunga

Senior Member
Mar 17, 2020
146
149
Kwa miaka 10 namsikiliza huyu jamaa wakuitwa Star Boy Wizkidayo

Moja kati ya Wasanii bora wa Afrika ameshafanya makubwa kwenye muziki wa Nigeria na Afrika kwa ujumla.

Tuzo, Mziki mzuri, shows za kimataifa, Kutengeneza pesa kupitia muziki nyingi kupitia muziki ni jambo dogo kwa Wizkid.

Aliwahi kulipwa bilion 1 na zaidi kuimba kule India katika harusi ya kifalme..

Kwa International amefanya kazi na wasanii wengi wakubwa kutokana na uwezo wake mkubwa.

Point ni kwamba Wizkid Ameimba nyimbo nyingi sana.

Lakini sina uhakika kama Wiz kid anaweza kuja kuimba nyimbo kali kuizidi hii OJUELEGBA.

Lyrics, Melody, Beats, sound vilikaa katika mpangilio mkali sana sana...

Moja kati ya nyimbo ilomtambulisha ulimwengu wa muziki kimataifa..

Ojuelegba ilishinda tuzo ya Song of Decade Star Boy pia akiwa Artist of Decade...

Ojuelegba🔥🔥🔥🙌
 
Sipingi ojuelegba bonge la dude kuwahi kutokea ila mi naikubali BOMBAY na phyno

Yess bishoo hasWaaaa
 
Kwa miaka 10 namsikiliza huyu jamaa wakuitwa Star Boy Wizkidayo

Moja kati ya Wasanii bora wa Afrika ameshafanya makubwa kwenye muziki wa Nigeria na Afrika kwa ujumla.

Tuzo,Mziki mzuri,shows za kimataifa,Kutengeneza pesa kupitia muziki nyingi kupitia muziki ni jambo dogo kwa Wizkid.

Aliwahi kulipwa bilion 1 na zaidi kuimba kule India katika harusi ya kifalme..

Kwa International amefanya kazi na wasanii wengi wakubwa kutokana na uwezo wake mkubwa.

Point ni kwamba Wizkid Ameimba nyimbo nyingi sana..

Lakini sina uhakika kama Wiz kid anaweza kuja kuimba nyimbo kali kuizidi hii OJUELEGBA.

Lyrics,Melody,Beats,sound vilikaa katika mpangilio mkali sana sana...

Moja kati ya nyimbo ilomtambulisha ulimwengu wa muziki kimataifa..

Ojuelegba ilishinda tuzo ya Song of Decade Star Boy pia akiwa Artist of Decade...

Ojuelegba🔥🔥🔥🙌
Kidayo nimemskiliza sana mikwaju kama Come Closer,Daddy Yo,Fever nk.jamaa hatari lkn hii Ojuelegba aisee ilipikwaaaa
 
Kwa miaka 10 namsikiliza huyu jamaa wakuitwa Star Boy Wizkidayo

Moja kati ya Wasanii bora wa Afrika ameshafanya makubwa kwenye muziki wa Nigeria na Afrika kwa ujumla.

Tuzo, Mziki mzuri, shows za kimataifa, Kutengeneza pesa kupitia muziki nyingi kupitia muziki ni jambo dogo kwa Wizkid.

Aliwahi kulipwa bilion 1 na zaidi kuimba kule India katika harusi ya kifalme..

Kwa International amefanya kazi na wasanii wengi wakubwa kutokana na uwezo wake mkubwa.

Point ni kwamba Wizkid Ameimba nyimbo nyingi sana.

Lakini sina uhakika kama Wiz kid anaweza kuja kuimba nyimbo kali kuizidi hii OJUELEGBA.

Lyrics, Melody, Beats, sound vilikaa katika mpangilio mkali sana sana...

Moja kati ya nyimbo ilomtambulisha ulimwengu wa muziki kimataifa..

Ojuelegba ilishinda tuzo ya Song of Decade Star Boy pia akiwa Artist of Decade...

Ojuelegba🔥🔥🔥🙌
Kote ulipoongea upo sahihi,mimi mwenyewe Wizkid kwa sasa kwangu ndiye msanii number 1 Africa ninaye mkubali.

Ila hapa ktk Artists of the Decade ktk tuzo gani ?sababu kwa mujibu wa MTV mama 2015 artists of the decade ni P SQUARE.

Here Are The 2015 MTV Africa Music Awards Winners
 
Back
Top Bottom