Hili tatizo lingine.Kufa ni kuoza utumbo muraah
Hili tatizo lingine.Kufa ni kuoza utumbo muraah
Watu wengi wanao leta mada za kiroho hasa kifo, huwa hawana ujuzi na jambo ili, ila kwa namna wanavyoleta wanahisi wanajua.
Sasa huyu mtoa mada analeta kitu na kutuambia ya kuwa mwili wa roho. Kuna mwingine hivi karibuni alileta mada kuhusu ulimwengu wa roho, lakimi alivyo puyana nikamuuliza swali, nafsi ni nini ? Swali hili hakunijibu sasa sijui kama aliliona au alilipuuza au uzi ulifutwa...?
😂 😂 😂Kuna mtu roho yake ilitoka mwilini tena kwa spidi ya ajabu ikawa inakimbilia kusikojulikana jamaa ikabidi akodi bodaboda aifukuzie,aliifukuzia mpaka akaikamata akairudisha mwilini na akaionya iache kutokatoka tena bila ruhusa
Nafsi ni nini ?Nipo hapa unasemaje?
Sehemu isiyo ya kifizikali ya mwili inayoweza kuwakilishwa na hisia au akili...." psyche" neph'esh"Nafsi ni nini ?
Hewa haitumiki kutengeneza umeme mwilini bali hewa husaidia uvunjwaji wa chakula (respiration).
Mtu akifa cha kwanza kufa ni ubongo(brain).
Moyo(heart) unaweza kuwa hai hata Massa 72 baada ya ubongo kufa.
Kutokana na hivyo ndio maana Heart transplant unachukuliwa moyo wa mgonjwa aliyekufa kwa masaa 24 maana moyo bado unakuwa active.
Post number 14 nimejibu swali lakoWatu wengi wanao leta mada za kiroho hasa kifo, huwa hawana ujuzi na jambo ili, ila kwa namna wanavyoleta wanahisi wanajua.
Sasa huyu mtoa mada analeta kitu na kutuambia ya kuwa mwili wa roho. Kuna mwingine hivi karibuni alileta mada kuhusu ulimwengu wa roho, lakimi alivyo puyana nikamuuliza swali, nafsi ni nini ? Swali hili hakunijibu sasa sijui kama aliliona au alilipuuza au uzi ulifutwa...?
wewe unajuaje kama hapo ulopo brain yako inafanya kazi?Sema tu kifo ni wakati brain inapoacha kufanya kazi . Hakuna anaejua zaidi ya hapo .
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Marejeo yako ni wapi ?Sehemu isiyo ya kifizikali ya mwili inayoweza kuwakilishwa na hisia au akili...." psyche" neph'esh"
Chanzo cha vyanzo....Marejeo yako ni wapi ?