Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,392
- 7,875
Mkuu hii ni elimu kwa mtu yeyote!Hii mada umeiwahisha. Ulitakiwa kuileta kesho tarehe 26/03/2021.
[emoji23]Kuna mtu roho yake ilitoka mwilini tena kwa spidi ya ajabu ikawa inakimbilia kusikojulikana jamaa ikabidi akodi bodaboda aifukuzie,aliifukuzia mpaka akaikamata akairudisha mwilini na akaionya iache kutokatoka tena bila ruhusa
Sawa mkuu najua wengi hawajui maana au tofauti ya roho na nafsi kwa sababu havionekani kwahiyo unataka na maelezo kuhusu mwili???Nasema hivi, mtoa uzi tuanzie kwenye tofauti ya roho, mwili na nafsi alafu twende kwenye mada mkuu, , ,
ROHO
Kitu ambacho kipo kisayansi ni kwamba mwili unapopoteza vigezo vya kumiliki roho ndo binadamu anakufa na si kwamba kunamalaika anaetoa roho.
Ulianza vizuri ila hapo kwa bodaboda umeharibu!Kuna mtu roho yake ilitoka mwilini tena kwa spidi ya ajabu ikawa inakimbilia kusikojulikana jamaa ikabidi akodi bodaboda aifukuzie,aliifukuzia mpaka akaikamata akairudisha mwilini na akaionya iache kutokatoka tena bila ruhusa
Kufa ni kitendo cha mwili wa nyama kushindwa kuungana na mwili wa kiroho.
Ili mwili wa nyama ushindwe kuungana na mwili wa kiroho lazima kuwe na hitilafi mbili.
Mwili uwe haupati hewa au damu iishe hewa utumika kutengeneza mfumo wa umeme kifuani ambapo mfumo huo utumika kusukuma moyo na moyo kuzungusha damu. Hivyo hewa isipofika maanake mfumo wa umeme hautotenda na Kama hautotenda maanake moyo utashindwa kusukuma damu na mwili utashindwa kutenda.
Hivyo roho itashindwa kuishi umo maana roho uunganushwa na nguvu ya damu. Hivyo roho automatic tu itatoka na kukaa pembeni kwa masaa 24 ikipita hapo iyo roho HaitowezA kurudi tena.
Pia mwili ukiisha damu roho haitoweza kurudi tena.
Pia kwenye mfumo wa ubongo ukiharibika.
Kitu ambacho kipo kisayansi ni kwamba mwili unapopoteza vigezo vya kumiliki roho ndo binadamu anakufa na si kwamba kunamalaika anaetoa roho.
Pili mtu mwenye kuongozwa na nafsi ndiyo anakufa Ila mwenye kuongozwa na roho hafi Ila ataishi miaka elf moja na kunyakuliwa.
Nafsi ikitoka uenda kuishi sehemu ambapo unaagano napo mpaka siku ya mwisho.

Watu wengi wanao leta mada za kiroho hasa kifo, huwa hawana ujuzi na jambo ili, ila kwa namna wanavyoleta wanahisi wanajua.Nasema hivi, mtoa uzi tuanzie kwenye tofauti ya roho, mwili na nafsi alafu twende kwenye mada mkuu, , ,