Part Asifiwe kilen Malila
Member
- May 16, 2022
- 22
- 57
Changamoto kubwa ipo katika kumtambua rafiki mzuri na rafiki mbaya maana watu wengi hushindwa kuwatofautishaHakika, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Hata nikimpasha habari shost angu sio umbea π€£π€£ LenieJust avoid people altogether π. Everyone comes with their baggages. Sema nini, I really hate umbea, and 90% of people's conversations ni umbea, otherwise people will find you very boring. So naonaga bora kukaa mwenyewe au kuwa msikilizaji kama siwezi kutoka Hilo eneo mf. Ofisini, ukikutana na ndugu, marafiki!
NB: kumpasha habari mumeo/mkeo sio umbea π
Vyema sana!Either wewe ni rafiki au mpenzi nkiona red flag hata moja tu habari yetu inaishia hapo