Fahamu Asili ya saluti jeshini

La Voz

Member
May 27, 2011
74
11
Nani alianzisha,ni jeshi gani lilikuwa la kwanza, je ni universal requirement ya majeshi yote duniani?
 
Sasa mm nimekimbilia kufungua thread nikizani unaotoa majibu kumbe na ww unanataka majibu!!!!! kweli we mboyoyo..
 
JESHI LA KWANZA lilikuwa la FIRAHUNI wakristu wanasema FARAO NA ASILI ya saluti ni kwa sasa tutasema ni ya kimasonic yani aliweka FIRAHUNI kipindi hicho lakini JESHI la kwanza ni la mwenyezi mungu lenye nguvu kubwa na hapa duniani ni kpoi baadhi ya vitu si vyote hata sheria za mateka zipo katika Quran na mengi tele
 
JESHI LA KWANZA lilikuwa la FIRAHUNI wakristu wanasema FARAO NA ASILI ya saluti ni kwa sasa tutasema ni ya kimasonic yani aliweka FIRAHUNI kipindi hicho lakini JESHI la kwanza ni la mwenyezi mungu lenye nguvu kubwa na hapa duniani ni kpoi baadhi ya vitu si vyote hata sheria za mateka zipo katika Quran na mengi tele
Huo ni ufafanuzi wa mitaani. Tunataka historia na data na si haya maelezo ya litokaa ki-udaku udaku.
 
According to modern military manuals, the modern western salute originated in the middle ages when knights who greeted each other raised their visors to show their faces, using a motion that resulted in what looks like a modern salute. Their helmets were equipped with protruding pins on the visors to allow the visors to be lifted using the saluting motion. The origin accounts for the common rule of not saluting when not wearing something on your head, as the salute was originally performed only when wearing a helmet. Photograph of medieval helmet with saluting pin on visor.
The naval salute, with the palm downwards used because the palms of naval ratings, particularly deckhands, were often dirty through working with lines: it would be insulting to present a dirty palm to an officer, so the palm was turned downwards. More likely it is simply the more natural position of the hand when seizing the peak of a cap. During the Napoleonic Wars, British crews saluted officers by touching a clenched fist to the brow as though grasping a hat-brim between fingers and thumb.

Source: Wikipedia
 
Back
Top Bottom