Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,027
- 25,010
... keshatimuliwa ! Hata alipokuwa Simba alikuwa ni mbabaishaji na mtu mjanja mjanja tu. Mafanikio ya Simba kwenye ligi kuu yalisababishwa na makosa ya marefa, na yale ya confederation yalisababishwa na kuwako kwa timu dhaifu sana katika ligi hiyo mwaka huo