Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 13,666
- 29,946
Nadhani amekimbia changamoto za ligi Fadlu. Ila alikoenda amechemka angeenda team ndogo siyo kubwa.
Bado uwezo wake si mkubwa kiasi hicho namwonea huruma atafukuzwa huko Raja.
Bado uwezo wake si mkubwa kiasi hicho namwonea huruma atafukuzwa huko Raja.