Fadlu Davis Kocha Wa Simba: Refarii Asitunyime Penati

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
33,616
Reaction score
40,165
FB_IMG_1750679423495.jpg

Kocha mkuu wa Simba amezungumza kuelekea mchezo wa Dabi nakumesema.." Labda watacheza kwa ajili ya sare, labda wataamua kubaki nyuma na kucheza kuipata sare maana bila shaka wakipata sare watakuwa mabingwa, na sisi tunahitaji kucheza kushinda (ili tuwe mabingwa)...

Hivyo utakuwa mchezo wa kuvutia. Natumai Uwanja wa Benjamin Mkapa utakuwa nusu Kijani, Nusa Nyekundu na kujaa kwa uwezo wake wote wa watazamaji 60,000 walioketi...Na nina hakika utakuwa mchezo bora sana...

Tuwe na matumaini mara hii, iwapo itatokea mazingira ya Penati na ni ya wazi kama ilivyokuwa kwenye mchezo uliopita tulipopata nafasi mbili za namna hio kupitia Kibu Denis...Tuombe iwe fair na wazi (toka kwa mwamuzi)...

Kwa sababu tunahitaji sherehe ya Soka la Tanzania kufanyika siku hio...Tuna Mchezo wa Yanga Na Simba ni mchezo wa timu mbili kubwa zaidi nchini na siku hio tutakutana Uso kwa Uso na bila shaka dunia itakuwa inatazama..."
credit: Chazymedia
 
View attachment 3380027

Dah, Huyu ni Kocha wa Football au ni Kocha wa Penati?
 
Kwa hiyo amesha waanda wachezaji wake wawili mabingwa wa kujirusha ndani ya 18 (Shomari Kapombe na Kibu Denis) wapate penati, halafu Ahoua kama kawaida yake! Kwenye magoli 16; 9 ni ya penati!
 
Napenda sana ujengaji wako wa hoja ila hii ya magoli ya penati mmmh nimuachie rais wa FIFA inawezekana penati iko nje ya mchezo
 
anafundisha kutafuta penat!

kwa hiyo asipopewa penat ndo timu haishindi.

Maajabu kinara wa mabao kwenye timu yake zaidi ya nusu ya magoli ni ya penat
Jean Charles Ahou ndio anayewaumiza Sanaa Moyoni 16 goal sasa we piga kelele zako za penalt bila sababu za msingi kataeni tu ila MVP wa ligi ni JCA
 
anafundisha kutafuta penat!

kwa hiyo asipopewa penat ndo timu haishindi.

Maajabu kinara wa mabao kwenye timu yake zaidi ya nusu ya magoli ni ya penat
Anadidimiza mpira wa Simba
 
Back
Top Bottom