Fadlu badilika ama ubadilishwe

Fadlu badilika ama ubadilishwe

Fatigue ya mechi ya jpili....

Kumbuka pia walicheza pungufu hivyo kazi waliofanya ilikua ni ya hatari......

Kikubwa matokeo yapatikane ......ila Fatigue zinaumiza wachezaji ......na ushindi unahitajika .....Tushukuru point tatu kibindoni ...... baaaaaaaaaaaaaaaaaasi kwa leo

Ila awape nafasi akina Nouma.....Valentino, kijili nk

Kijili ni takataka.

Duchu labda
 
Hivi kwa nini Valentino mashaka kila mechi anakaa benchi Lakini hachezi? Hofu ya kufungwa inamfanya Fadlu kutokuwatumia wachezaji wengine ambao anao na wangempa matokeo chanya.

Hivi ni kweli kuwa kila mechi ni Lazima Mohamed Hussein acheze?
Simba bado haina mbadalla wa mohamed hussein na shomari kapombe.Wanaochezeshagwa hawana ukomavu labda kwamechi ndogo.Valentino sio mchezaji wakutegemea kama unahitaji matokeo.
 
Uchambuzi wa kipuuzi huu.... Yaani umeshindwa kutambua kuwa timu ilikuwa na fatigue kutokana na mechi za CAF????.....
Hujamuelewa mtoa mada.Hayo mapungufu aliyoyataja yako simba toka msimu unaanza.Kibu ubinafsi wake hautokani na uchovu,ohua utoto wake hautokan na uchovu.Tatizo ni kukosekana kwa kikosi kipana chenye ubora unaolingana ndicho kitu kinachoigharimu timu namengine mengi aliyoyataja mtoa mada.
 
Tofauti yenu kwenye mechi ya leo na wale Waarabu waliocheza na Yanga Kwa Mkapa, ilikuwa ni rangi tu! Yaani hata sijaamini kama timu kama simba inaweza kukalinda kagoli kamoja dhidi ya timu kama Singida Black Stars!
Wewe unaiona singida ni timu ndogo?
 
Hujamuelewa mtoa mada.Hayo mapungufu aliyoyataja yako simba toka msimu unaanza.Kibu ubinafsi wake hautokani na uchovu,ohua utoto wake hautokan na uchovu.Tatizo ni kukosekana kwa kikosi kipana chenye ubora unaolingana ndicho kitu kinachoigharimu timu namengine mengi aliyoyataja mtoa mada.
Kinaigharimu vipi, unadhani timu zingine hazichezi? Mechi za simba ni dume sio kama za yanga ambazo zinalainishwa nje ya uwanja, gsm effect
 
Umejawa hofu ya kufungwa kiasi ni kama unazuia wachezaji kuchakarika.

Imani yako kwa Mohamed Hussein, Fabrice Ngoma inaigharimu Timu.

Kibu D ana maguvu Lakini achezi kitimu. Umeshindwa kumuelekeza kuwa akicheza kitimu Simba itafaidika zaidi?

Ahoua anajua kucheza mpira Lakini hachezi kimpira. Afunzwe kuwa kipaji chake kinatakiwa kiinufaishe Timu . Asicheze kama yupo mazoezi.

Kupoteza muda ni sehemu ya mbinu mojawapo ya kimpira. Lakini sasa kipa Moussa Camara anaitumia vibaya hadi anaua morali ya uchezaji kwa wenzake.

Timu haina Kasi inayotakiwa na ikifunga bao moja tu ndiyo uzingativu hupotea. Yaani Simba ikishinda bao Moja inaanza kujilinda badala ya kutafuta bao jingine.

Kapombe na Mohamed Hussein wafundishwe kurusha mipira Kwa wakati. Mpira ukitoka wao huchukua mpaka sekunde 45 kuurusha, matokeo yake wapinzani hupata muda wa kujipanga!

MIKIA WANGEKUAJIRI WEWE UWE KOCHA WANGECHUKUA MAKOMBE YOTE. UPO VIZURI SANA AISEEEE. FADLU AONDOLEWE SIMBA UAJIRIWE WEWE.
 
Umejawa hofu ya kufungwa kiasi ni kama unazuia wachezaji kuchakarika.

Imani yako kwa Mohamed Hussein, Fabrice Ngoma inaigharimu Timu.

Kibu D ana maguvu Lakini achezi kitimu. Umeshindwa kumuelekeza kuwa akicheza kitimu Simba itafaidika zaidi?

Ahoua anajua kucheza mpira Lakini hachezi kimpira. Afunzwe kuwa kipaji chake kinatakiwa kiinufaishe Timu . Asicheze kama yupo mazoezi.

Kupoteza muda ni sehemu ya mbinu mojawapo ya kimpira. Lakini sasa kipa Moussa Camara anaitumia vibaya hadi anaua morali ya uchezaji kwa wenzake.

Timu haina Kasi inayotakiwa na ikifunga bao moja tu ndiyo uzingativu hupotea. Yaani Simba ikishinda bao Moja inaanza kujilinda badala ya kutafuta bao jingine.

Kapombe na Mohamed Hussein wafundishwe kurusha mipira Kwa wakati. Mpira ukitoka wao huchukua mpaka sekunde 45 kuurusha, matokeo yake wapinzani hupata muda wa kujipanga!
Ukocha ungelikuwa mwepesi hivyo, kusingelikuwa na haja ya kuajili makocha kutoka nje. Wangelipatika hata humu JF!
 
Mkuu naheshimu mawazo yako, lakini umeshindwa kutambua kama kikosi kimechoka sasa hivi kutokana na kucheza mechi ngumu mfululizo... Timu inakata pumzi kwa sababu ambazo zinaeleweka.
Kama kikosi kimechoka si Kuna wachezaji wengine, hii inapelekea kuwa na majeruhi na kuua viwango vya wachezaji.
Singida wajilaumu hii ni Kama mechi na Azam tulipata sare ya kijinga
 
Hujamuelewa mtoa mada.Hayo mapungufu aliyoyataja yako simba toka msimu unaanza.Kibu ubinafsi wake hautokani na uchovu,ohua utoto wake hautokan na uchovu.Tatizo ni kukosekana kwa kikosi kipana chenye ubora unaolingana ndicho kitu kinachoigharimu timu namengine mengi aliyoyataja mtoa mada.
Mtoa post ame base kwa matokeo ya juzi....

Yaani kocha aifikishe timu hadi kucheza fainali ya mashindano makubwa alafu eti umlaumu kuwa amekuwa akipanga kikosi vibaya.... Huu ni uwendawazimu wa ushabiki.... Yaani shabiki hujui unataka Nini!
 
Yaani kocha aifikishe timu hadi kucheza fainali ya mashindano makubwaHuu ni uwendawazimu wa ushabiki.... Yaani shabiki hujui unataka Nini!
Humu Nina post lukuki nimeandika nilichoandika hapa. Uwenda wazimu ni kufurahia mafanikio bila ya kujali njia uliyotumia kupata hayo mafanikio.

Sipendi kocha wa staili ya Morinho!
 
Back
Top Bottom