Mani Fabian
JF-Expert Member
- May 11, 2025
- 505
- 374
YANGA BINGWA
Hapana Refa wetu tuna imani nayeVAR itatumika!!!
Waliposema wachezaji wapumzike kwa masaa 72 kabla ya kucheza mechi nyingine walimaanisha nn?Mkuu naheshimu mawazo yako, lakini umeshindwa kutambua kama kikosi kimechoka sasa hivi kutokana na kucheza mechi ngumu mfululizo... Timu inakata pumzi kwa sababu ambazo zinaeleweka.
Na mechi walichezea Zanzibar tu hapo!Waliposema wachezaji wapumzike kwa masaa 72 kabla ya kucheza mechi nyingine walimaanisha nn?
Yaani Kibu D mwenye miaka 35 uje leo umfundishe kucheza kitimu, kitu ambacho anafundishwa mtoto wa miaka 6 mpaka 8 ???Umejawa hofu ya kufungwa kiasi ni kama unazuia wachezaji kuchakarika.
Imani yako kwa Mohamed Hussein, Fabrice Ngoma inaigharimu Timu.
Kibu D ana maguvu Lakini achezi kitimu. Umeshindwa kumuelekeza kuwa akicheza kitimu Simba itafaidika zaidi?
Ahoua anajua kucheza mpira Lakini hachezi kimpira. Afunzwe kuwa kipaji chake kinatakiwa kiinufaishe Timu . Asicheze kama yupo mazoezi.
Kupoteza muda ni sehemu ya mbinu mojawapo ya kimpira. Lakini sasa kipa Moussa Camara anaitumia vibaya hadi anaua morali ya uchezaji kwa wenzake.
Timu haina Kasi inayotakiwa na ikifunga bao moja tu ndiyo uzingativu hupotea. Yaani Simba ikishinda bao Moja inaanza kujilinda badala ya kutafuta bao jingine.
Kapombe na Mohamed Hussein wafundishwe kurusha mipira Kwa wakati. Mpira ukitoka wao huchukua mpaka sekunde 45 kuurusha, matokeo yake wapinzani hupata muda wa kujipanga!
Ana miaka 35?Yaani Kibu D mwenye miaka 35...
Natamani wangeiga ile model ya ulaya kama walivyofanya Ghana nafikiri kabla ya world Cup 2010.Na mechi walichezea Zanzibar tu hapo!
Wewe ni nani???Umejawa hofu ya kufungwa kiasi ni kama unazuia wachezaji kuchakarika.
Imani yako kwa Mohamed Hussein, Fabrice Ngoma inaigharimu Timu.
Kibu D ana maguvu Lakini achezi kitimu. Umeshindwa kumuelekeza kuwa akicheza kitimu Simba itafaidika zaidi?
Ahoua anajua kucheza mpira Lakini hachezi kimpira. Afunzwe kuwa kipaji chake kinatakiwa kiinufaishe Timu . Asicheze kama yupo mazoezi.
Kupoteza muda ni sehemu ya mbinu mojawapo ya kimpira. Lakini sasa kipa Moussa Camara anaitumia vibaya hadi anaua morali ya uchezaji kwa wenzake.
Timu haina Kasi inayotakiwa na ikifunga bao moja tu ndiyo uzingativu hupotea. Yaani Simba ikishinda bao Moja inaanza kujilinda badala ya kutafuta bao jingine.
Kapombe na Mohamed Hussein wafundishwe kurusha mipira Kwa wakati. Mpira ukitoka wao huchukua mpaka sekunde 45 kuurusha, matokeo yake wapinzani hupata muda wa kujipanga!
Kibu miaka 35???? Wewe ni mama akeYaani Kibu D mwenye miaka 35 uje leo umfundishe kucheza kitimu, kitu ambacho anafundishwa mtoto wa miaka 6 mpaka 8 ???
Siye tuvumiliane hivyo hivyo maana ndo urefu wa mfuko ulipofika..
Kwani we ni Shangazi ake?Kibu miaka 35???? Wewe ni mama ake
Mmbebwa na nani? Mbona mnafuata mkumbo? Hao hao wanaosema simba inapewa penati leo wanashadadia penati walionyimwa hao ndugu zao...Mechi ya Leo kiasi fulani tumebebwa! Imechezeshwa hovyo sana!
Nimeangalia mechi mwanzo mwisho.refa hajachezesha mechi vizuri.Mmbebwa na nani? Mbona mnafuata mkumbo?
Watu kama wewe huwezi kuwa rafiki yetu sisi wana ubaya ubwela...wewe bakia kwenye nguvu moja peke yake... 😆 😆 😆 😆Nimeangalia mechi mwanzo mwisho.refa hajachezesha mechi vizuri.
Sawa. Mwana ubaya Ubwela!Watu kama wewe huwezi kuwa rafiki yetu sisi wana ubaya ubwela...wewe bakia kwenye nguvu moja peke yake... 😆 😆 😆 😆