Fadhila za CCM Hadharani

Hali mtoto hapo wataishia kunyang'anyana huo wali
 
Huyo jamaa kusho ndiye ''mratibu'' wa shughuli yenyewe naona
 
Ndo fadhila za ccm izo,wali bila nyama chakula cha mfungwa siku zote ni wali maharage nyama haram kwa mfungwa.
 
hii picha i recomend ipelekwe jukwaa la siasa da nimecheka sana
 
hawa ni wezi wanatoa wali halafu wana waibia dhahabu na almasi zenu..? ningekua mimi ninge wamwagia huo wali wao pambaf..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…