Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,709
- 23,117
Mfano nani mkuuWatakatifu wenye majina ya kibantu wapo!
Mfano nani mkuuWatakatifu wenye majina ya kibantu wapo!
Tunataka kurithi ufalme wa milele bana na kule hawaendi matajiri ni sisi masikini tu ndo tunaenda. Umaskini mtamu sana na waafrika tumeupatia sana jinsi ya kucheza nao maana tunajitahidi kutovuka mstari. Na yeyote anaetaka kututoa hapa tulipo tunajitahidi kutumia nguvu zote kumpoteza maana atatutoa kwenye track, stay focused maintain your poverty.
Africa, with less population than India is managed by *54 Presidents, and over 1,080 (one thousand and eighty) ministers, who collectively still achieve less than a single prime minister in India.*
China with bigger population than Africa has no permanent members of Parliament. *The 3,000 members of the National people congress assemble for only for few weeks during the year to vote on the laws submitted by the executive branch.* Afterwards, they all go back to their regular jobs.
What a plane TruthMwanakwetu Kwa hivyo waafrika wote ni watakatifu wajao!! Lkn mbona tangu enzi za mababu na hata kusoma kwetu maandiko hakuna jina la kibantu katika orodha ya watakatifu kama hao ngozi nyeupe na bado tumeridhi majina Yao amabayo hata tafasiri na tamaduni zake hatuzijui.
Naungana nawe kwani wale akili kubwa waliozaliwa Africa wengi wamechukulia na nchi za magharibi na wale walioona wabaki na kuyajenga mataifa Yao hatunao tena katika ulimwengu huu.
Yeah! The man tries to awake African not to embrace those so called petty aid or loans,for those are the the bars that cracks our feets down,they hold it at the past,they use it now,and their tommorow rely on the same bar!! Let's find the way to get rid of that bar,and our future will be in our hands!Could we all, for a moment speak positively about our Continent?
These people think we are still living in that era.
How about we sing praise about us, our African Countries, Our Continent?
How about we embrace the slavery period as destiny that enabled us to penetrate to leadership of the main Superpower, America?
How about we discuss now, where we are, where we are going instead of where we were.
Because if we lean so much on the past, our journey forward will be slow, and hefty.
His motor is running down the lane,yes! In the wrong way!Mkuu unadhan kipi kifanyike kuondoka na hili tatizo wakati tunazo rasilimali za kila Aina? Do you think we need the Magulification of Africa? Atleast JPM,can stand firm on what he need for his people and for the Nation. He's putting priority to National interest rather than personal issues.
Hahahaha JF....Huu ndiyo ujinga tuliodanganywa mpaka hatujielewi kabisa.
Noma Sana ,ndio nn hiyo..... alafu leta matokeo ya watan wa Jadi!!!Hii ngumi ya chembe kabisa.
What a plane Truth
Apo kwenye dini,u've nailed Boss
Yeah! The man tries to awake African not to embrace those so called petty aid or loans,for those are the the bars that cracks our feets down,they hold it at the past,they use it now,and their tommorow rely on the same bar!! Let's find the way to get rid of that bar,and our future will be in our hands!
ButHis motor is running down the lane,yes! In the wrong way!
His motor is running down the lane,yes! In the wrong way!
He is the man behind his own wheel! The confused confuser he is!But
Nimecheka Sanaa yaan! He's trying to fight against them...... tumpatie mikakati madhubuti. Kwa umoja wetu tunaweza
Blame is on who?You can't think of the future without vision. We don't have innovative and visionary leaders. We should reshuffle policy on our resources/politics/how our leaders are elected and get back to the strategy of our ancestors like Mwl. Nyerere and Kwame Krumah and the rest.