Apollo
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 4,920
- 3,222
1.Rudia kusoma thread ndio ujue thread ina maanisha nini. A bible is the sure book for scientific predictions because it provides accurate information which came to be proven scientifically after 3000 years. Haya maelezo hayajumuishi Miracle part of the bible because bible is like a tree with varieties all kinds of good fruits. Leo hapa tunazungumzia sayansi.
2:NIKOLA TESLA:
Kwanza alikutana na Huyo Muhind Marekani akiwa na Miaka kama 38.Huyo jamaa kamkuta tesla akiwa ameshafanya karibu kila kitu, Na yeye ndie aliyemuandikia barua wakutane. Tesla alikutana ili aprove mathematically zile theory za huyo muhindi. Japo zoezi halikufanikiwa lakini walibadilishana Ujuzi kiasi. Ila unapaswa Kumjua Tesla, Kwanza alizaliwa serbia marekani kaenda akiwa kijana mkubwa, baba yake alikuwa Mchungaji, Akiwa mdogo mama yake alikuwa anamuadithia kuhusu Maporomoko ya Niagara, Tesla alifanya imagination ya Turbines zikizunguka kwenye waterfall bila hata kuona waterfall kwa macho akiwa na miaka 9. Alipofika US akakamilisha hiyo project practically na kuwa mtu wa kwanza kuinvent hydroelectric power stations. Na alifika US kama Muajiliwa wa kampuni ya Genera electric alipohamishiwa kutoka branch ya france. Kuita vitu kwa jina la hao jamaa sio kwamba wao ndio waliminfluence. Signal ya kwanza katika first telecommunication tower aliyoidisign alipoipokea alisema amesikia sauti za maraika. Hakuwa na dini kwa sababu 90 ya maisha yake aliishi lab lakini he had bible based background.
3: Ugunduzi wa kibibilia Refer Thread hapo usome utaelewa namaanisha nini. Pia Father of oceanology
Matthew Fontaine Maury he was investigating Psalm 8:8 na kubadili sura nzima ya dunia na Usafiri wa maji.
4:Tunajadili wasomi waliokuwa inspired na bibilia au kuinvestigate and research scientific biblical facts na kuja na findings ambazo zimeisaidia dunia Sio Dhehebu la dini liliwafanyaje hao watu na kwa maslahi ya nani? Kwa sababu hata haohao wayahudi waliokuwa na kila maandiko yaliyomtabiri yesu walimuua haimaanishi maandiko hayakuwa sahihi ila ni upotofu wao kwa kujua au kutokujua. Sasa hawa wote walikuwa watu wa bibilia na wasiokubaliana na Ethiesm na Mauongo ya kigiriki.,
Nicholas Copernicus (1473-1543)
-Copernicus referred sometimes to God in his works, and did not see his system as in conflict with the Bible.
Sir Francis Bacon (1561-1627)
"It is true, that a little philosophy inclineth man’s mind to atheism, but depth in philosophy bringeth men's minds about to religion"
Johannes Kepler (1571-1630)- Aliamini anaweza kupata concepts za trinity katika universe
Galileo Galilei (1564-1642)
Galileo expressly said that the Bible cannot err, and saw his system as an alternate interpretation of the biblical texts.
Rene Descartes (1596-1650)
Rene Descartes and Francis Bacon (1561-1626) are generally regarded as the key figures in the development of scientific methodology.Na huyu alidevelop model ya existence of God.
Blaise Pascal (1623-1662)
Maneno yake wakati anakufa "May God never abandon me."
Isaac Newton (1642-1727)
Aliamini Mungu yuko nyuma ya kila kila kilichopo katika universe, "The most beautiful system of the sun, planets, and comets, could only proceed from the counsel and dominion of an intelligent and powerful Being."
Robert Boyle (1791-1867)
Alifund mapesa mengi kutafsiri bibilia kwenye lugha za kituruki na kiirish, Hiki ndicho alichokisema kuhusu hizo imani za kigiriki watu wanazozihusudu 'the notion that atheism is a modern invention is a myth'
Michael Faraday (1791-1867)
Bible influenced him to Significantly interpret nature
Gregor Mendel (1822-1884)
William Thomson Kelvin (1824-1907)
Albert Einstein (1879-1955)-He wanted to explore how God created this world.
"Science without religion is lame, religion without science is blind."
HIKI ALICHOKISEMA MZEE ALBERT NDICHO NINACHIKZUNGUMZA HUMU
Tatizo hukunielewa ndugu.
Nimekuomba list ya scientific discoveries ambazo zilitoka kwenye bible na kuwa acknowledged directly kama mfano niliokupa wa Tesla acknowledgement to the Veda mpaka kuita kiini cha umeme ni title ya experiments zake Vedic terms. Sijui kama you get my point.
Tesla history ya kuwa raised in Christianity its true. Later he was not a Christian. Wengi wanakua na kuchagua imani yao binafsi.
Einstein alimaanisha Buddhism check long version of that speech. Was a Jewish and scientist who accepted Buddhism na kusema it fits 99% modern science.
Yes I do agree kuna Christian scientists. Thats normal kwa sababu its a personal choice. My concern is scientific discoveries from the bible are rare. Almost hakuna. And its because authors wa bible nao walicopy katika other spiritual readings before bible haijaandikwa. Kuna post niliwahi kuelezea 10 commandments zilitoka katika kitabu cha Maat Misri, Noah ilikuwa Sumerian myth, Ibrahim ni canaanite story, Eden story ni sumerian, Monotheism ni Vedic na Sumerian, Trinity ni Egyptian mythology, Christianity na Mysratas of Constantine religion and so many to list. Nothing new in the bible that is unknown to other religions. Na other religions zina deep knowledge ambayo bible followers mnashindwa kurelate kwa sababu most mnaona bible is perfect na hakuna haja ya kusoma kwingine.
Even Jesus alishafundisha Kashmir at age of 12 to 30, lakini hamjui hilo na hamjui kwanini hizo verse za biblia zilitolewa kusema ukweli kuwa alikuwa anafundisha India na alikuwa anaishi kwenye monastery kama mtawa. My point is hakuna kipya kwenye bible nje ya hizo mythologies. Na ndio maana ilibidi kuua wanasayansi kutokana na kuona science inawapinga na mnaogopa kukiri what is the truth.
Kukujuza zaidi, Jews sio wajinga kumkataa Yesu kuwa ni masihi. Nimesoma Judaism very well. Sio kwa sababu ni wajinga na wabishi. Ni kwa sababu masihi alikuwa na sifa fulani ambazo waliambiwa lazima awe nazo na kama hatatimiza hata sifa moja wana haki ya kureject. Yesu anaitwa Rabbi au mwalimu na sio Mungu wala masihi kwa sababu hakutimiza videzo vyote vya kuwa masihi.
Baadhi ya vigezo ni kuwa masihi sio Mungu ni mwanadamu kama wanadamu wengine 100% bila uungu, masihi atatoka katika ukoo wa David kwa upande wa baba (kwa mnaamini Yesu baba yake hakuwa baba mzazi). Na masihi ataunganisha koo 12 za Israeli, Na atajenga Third Temple juu ya Temple ya Solomon. Then hivyo ndivyo mojawapo kati ya vitu Yesu hakutimiza vingine aliahidi kutimiza akija mara nyingine. So, sio wajinga kutoamini. Wana haki na wanafuata rules na compatibility walizoelekezwa. Hawakuambiwa kuna kurudi mara mbili kutimiza kimoja baada ya kingine. Lakini sio kwamba Judaism haimkubali kabisa Yesu, ni Rabbi na anapewa heshima yake kama mwalimu mzuri.
Ndugu, nilikuwa nisome upadre. Ulipo wewe nimepitia na kutafuta zaidi ta nilivyokuwa napewa. Na mwisho nikaona bora kutoka na kujifunza mengi mwenyewe. Usione nakupinga bali nakupa ufahamu from the other side.