Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh skuiz majanga tupu humu
nadhani ni mtazamo
Umempoteza Mwanyasi kabisa! sikuhizi hata kijiweni hatokei!:angry::angry::angry:
Nimeogopa nikajua kesi kubwaa....yupo bana anahudumia familia si unajua siku hizi anaitwa baba anakosa muda majukum yanamzidi, karibu kwetu kajaa tele....
Mwambie washkaji zake wa kistoni tunamkosa sana!