Fact you need to know about changudoa/malaya!!!!

Fact you need to know about changudoa/malaya!!!!

meddie

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
434
Reaction score
125
Mambo muhimu ya kujua unapojiusisha na machangudoa/malaya (malaya wa kiume/kike)
  • jambo la kawaida ni kupoteza pesa na muda wako bila ya ww kujali/ kujua,
  • kujiona unafaidi lkn bila ya kufanya tadhimini unafaidi nini hasa au una-gain nini
  • kama umeoa ama kuolewa utanaanza ku-experience mtafaruku/mgogolo/balaa ndani ya ndoa. Unaanza kumuona mwenzio hafai/anaupungufu fulani/ communication inakuwa poor, mzozo unazuka kutokana na jambo husilotegemea nk. Hali hii inaweza kufikia kwenye kupigana, kudhalilishana, vikao, kutengana!!
  • Kukosa affection kwa mwenzio. unabaki umelala tu husikii kitu au jogoo hanakosa kuwika lkn ukitoka nje kazi kama kawaida!
  • matukio yasiyotabilika yanaweza kutokea ktk kazi, biashara, unashika pesa nk huoni imefanya nini!
  • malaya yeyote ni kama shimo refu lisilo jaa wala kutosheka, kwa kila kitu!!
  • Unayofanyiwa, unayopewa na malaya jua hiyo ni staili yake na anafanya kwako na kwa yeyote!
  • unapotembea na mayala kunauwezekano kuwa addicted na maisha hayo
  • Uwezo wako kufikiri vzr ktk mambo ya busara kunauwezekano ukapungua/potea
  • Interest na mambo ya kanisa/Mungu inapungua na hata ukienda unakuwa upo upo tu! Most malaya hawaendi kanisani.
  • Jua baadhi (nasema baadhi) ya malaya/changudoa ni agent wa shetani. Wapo wanaojua na wapo ambao ni agent lkn hawajui. Matokeo ya mahusiano ya kisex na hawa watu, ni kufukuzwa kazi, kufail, kuharibikiwa, ndoa kufarakana, sometime pre-mature death na mambo yanafanana na hayo!!
  • Hukiona mtu (mwanaume or mwanamke) kazi yake ni kufanya sex tu na mambo yake physically yapo safi, basi mpe muda utaona jambo lisilooelezeka. Ila kwa magent wao mambo yao yanabaki vilevile na ukimwi hauwatoi duniani.
  • list ya mambo goes on!!!!!!!
 
Thanks for very useful thread, lakini imeandikwa hivi:- "wana masikio lakini hawawezi sikia, wana macho lakini hawawezi kuona"; ila usife moyo ktk watu 1000 watakaochungulia hii thread, 500 watasahau baada ya kusoma (mbegu juu ya mwamba), 480 watatafakari na wataachia mawazo yao mabaya at least kwa leo (mbegu kwenye miiba), 15 watafakari na kuacha hiyo kitu kwa at least mwezi mmoja (mbegu kwenye udongo usio na rutuba) na 5 watabadilisha maisha yao kabisa (mbegu kwenye rutuba) na kumshinda shetani na tricks zake zote.
 
Asikiaye na kutii atafanikiwa katika hili ila asikiaye na kulipuuza atakiona cha moto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom