Huyu Ndallo hana nia nzuri baby wangu...Daah! I still wanna get married! Inspite of ndallo's discouraging note! Lol
every opportunity is a learning opportunity.Huyu Ndallo hana nia nzuri baby wangu...
Sisi maua yetu hayatakufa kamwe na yataendelea kumea na kuwa mekundu zaidi
Huyu Ndallo hana nia nzuri baby wangu...
Sisi maua yetu hayatakufa kamwe na yataendelea kumea na kuwa mekundu zaidi
Teh hayo ni maneno ya kuambiwa mumy....ingekuwa hivyo ndoa nyingi zingeshavunjika zamaniiiiii ila si unaona wanavyoenjoy hadi sana!!!!?Huwa mnabadilika nyie.. Mnaanza kuzusha business trips..
Ila siku hizi tumeanza kukaribia kuishi sawa tu tena baada ya muda tutawapiga bao sana nakuishi saaaaaaanaHapo No 3 , why Women live longer than a Man !
Hii ni zawadi "Specific award" kutoka kwa Mungu kwenda kwao wanawake. Hakuna cha wizard wala Mayai ya Bundi ,wala nini due
God Rules .
Kwamba watakua na maisha marefu.
Hakuna kitu kizuri kama ndoa... In marriage kama umepata mtu ambae ni worth it, You gain a partner... A friend... A hubby... Your love... someone to share speacial Moments and if God wills a bond of creating beautiful and wonderful beings... Ndoa haitakiwi usimuliwe, Inabidi u dare na U discover kuna nini... Na believe me you; yooote yapo, Ukitaka Machungu yapo, Ukitaka matamu yapo, Ukitaka Furaha ipo Ukitaka karaha ipo.... Inategemea na wewe ni nini wa provide kupata unacho kitafuta....