FACT: Nairobi Has more vehicles that Tanzania as a Whole.

This is a bitter truth, Dar is my city but it is retarding developmentally on daily basis. Above all it is poorly planned making it a biggest squatter city. All this is because of having in power VIONGOZI WASHAMBA WA MADARAKA ambao kwao utajiri ni mbaya na wanafurahi kuona watu wanapata shida tu. What do you expected from leaders like these??
 
Ngoja wenzako wakam
 
its aFACT i just cannot open a thread without research ....kenya had 1.4 million registered cars in 2015 half of this is in Nairobi...Tanzania had 380000 registered vehicles
Kenya Motor Vehicle Registered [2005 - 2018] [Data & Charts]
Tanzania Motor Vehicle Registered [2005 - 2018] [Data & Charts]

Tanzanian records are not that open mzee...usije ukaanza kufeli..

Actual statistic ni kwamba hayo magari nadhani hata kwa Dar tu pekee yake ni machache

Hizi data za hawa jamaa zako wa ku-pull data "online" si actual mzee....

Tanzania haiwekagi data online kama ilivyo Kenya....Data zetu nyingi ni hardcopies!

Kwahiyo,try again!
 
That is Data from TRA my friend ..Kenya has 5 times the cars TZ has
 
Dar at 1,600 km sq and Nairobi at 560km sq, makes Dar 3 times larger than Nairobi. If u bring all cars that are in Dar, to Nby, u will have to pile them in three decks for all of them to at least have a space...

Quite a stupid analogy.
Dar being 1600km sq doesn't mean that's the built up area. It only means those are the designated boundaries on the map.
New York City is 783 km sq. Are you saying Dar is twice the size of New York. Mjinga kweli.
 
Umeshawahi kufika Dar es Salaam?
Ebu skieni huyu
FB_IMG_15437234758238375.jpeg
 
Wrong!!
Below are data from The Ministry of Works and Transportation,

View attachment 956008

It's actually twice that (excluding public/government vehicles).

Nilimwambia huyu jamaa TZ hua data zao zipo kwenye hardcopies hazipo online kama wao..

Na pia kuna takwimu nyingi sana Kenya wanajifanya wapo juu kumbe in real terms wanajidanganya..

Ni kama uchumi wa TZ unaweza kua upo mbele ya Kenya sema basi tu takwimu!
 
Yaani mnaongeza pikipiki? Huku Kenya mashambani kila boma kuna pikipiki. Nadhani sahii pikipiki Kenya zipo more than 5M. Cha kushangaza Kwa hizo data zako pikipiki pekee ni over 1M halafu ukiongeza zingine zote hazifiki 2M.
 
Delusional af
 
Bro..

"Nadhani",really?

Tupe data bwana....

Kenya pamoja na ku-exaggrate sana data zenu,sisi hua tunazipunguza..In reality Kenya tumeipita kiuchumia in real numbers,sema basi tu hatupendi ku-reveal!
 
Back
Top Bottom