FACT: Nairobi Has more vehicles that Tanzania as a Whole.


Lusematic

Lusematic

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2017
Messages
5,486
Likes
2,069
Points
280
Lusematic

Lusematic

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2017
5,486 2,069 280
ZZanzibar watu wanakaa wakiangaliana wanabebwa kama mizigo shame on you...ukipost kitu tumia akili kwanza ..kichwa sio kifiniko ya shingo View attachment 958806
Hiyo ni zanzibar village mizigo ndiyo wanaweka juu tena kwa sasa hakuna huo utaratibu huwezi linganisha na nyie yaani mnafanya utumbo hadi kwenye jiji kuu lenu mnatumia local transport ambazo ni chafu...
Haya ndiyo maisha yenu mnsishi maisha ya kuzimu

tapatalk_1544168410770-jpeg.958870
images-3-jpeg.958871
 
Lusematic

Lusematic

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2017
Messages
5,486
Likes
2,069
Points
280
Lusematic

Lusematic

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2017
5,486 2,069 280
Wapo mkuu, yaani nlivoiona hio ishu nkasema daah, hawa wakenya wanavokuja kujisifia humu JF maendeleo yao kumbe kuna mazombi kwao :D
Hao hawana kitu.....ni kelele tu wanadhiki iliyopindukia....
Ukiifuatilia kenya kupitia mtandao kwa mtu usiyeijua kenya aisee utapagawa yaani walishatengeneza tengeza malink yakujibrand kama wao ni bora....ila in realiality wanasikitisha
 
Abunwasi

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2009
Messages
3,746
Likes
1,506
Points
280
Abunwasi

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2009
3,746 1,506 280
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
9,400
Likes
6,452
Points
280
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
9,400 6,452 280
Huu ndio ujinga wa mwafrika, wakati watu wanapambana wapunguze magari sisi tunashangilia.
Bora ungesema mnatuzidi kwa matumizi madogo ya magari binafsi
 

Forum statistics

Threads 1,235,329
Members 474,524
Posts 29,218,656