wala sikupata pigo bali niliamua tu baada ya kuona sivielewi vijimambo vya fb...na uko badoo wala sipajui..na wala sitaenda uko...yani siko kwenye social network yoyote zaidi ya JF..
mmmhh.. umenilazimisha niamini. so yule jamaa yako hakukuambia ujiunge na fb?
Hahaa...eti yule jamaa yangu..mwe....
tuambizane mama!!!
au uko singular as number one!
sidhani km fb ni mby ila watumiaji wengi wa bongo ndo wanashindwa kuitumia. binafsi watumiaji wengi nawaona km ni watoto sn. kwa siku mtu anaweza kuchange profile picture hata mara kumi. ili iweje sasa yan watumiaji wengi wauza nyago tu na hakuna cha maana wanachowaza zaidi ya kuupload tu pic