Mamserenger JF-Expert Member Joined Oct 14, 2019 Posts 1,156 Reaction score 2,120 Aug 29, 2020 #1 Wakuu naomba msaada jinsi ya kufuta meseji zoteee messenger Iwe kama ndio nime download leo. Kwakuwa ina meseji taka za yangu 2010. Lakini sio ile njia ya kufuta kwa moja mojaa. Au hata kama kuna app mnijuzee Nawasilisha Kwa msaada.
Wakuu naomba msaada jinsi ya kufuta meseji zoteee messenger Iwe kama ndio nime download leo. Kwakuwa ina meseji taka za yangu 2010. Lakini sio ile njia ya kufuta kwa moja mojaa. Au hata kama kuna app mnijuzee Nawasilisha Kwa msaada.
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 8,546 Reaction score 10,795 Aug 29, 2020 #2 Haiwezekani kufuta zote kwa pamoja zaidi ya Ku clear conversation kwa mtu mmoja mmoja.