Facebook kufungwa Machi 15, 2011?

The set-up of facebook iself made it vulnerable to misuse. Mlitegemea nini kama kila mtu atakuwa huru ku-expose any private information! na kila mtu kuweza ku-access hiyo information? Wengi waliounganishwa na facebook hawakuwa marafiki wa kweli kwa sababu facebook iliruhusu na kushawishi kama rafiki yako kajiunga na rafiki mwingine na wewe unashawishiwa kujiunga na rafiki yake (whom you may not know anyway!).
Kuhusu watoto kukaa sana kwenye computers kwa ajili ya facebook, kuifunga itasaidia kidogo sana maana kuna site nyingi za kipuuzi ambazo vijana wataziangalia. Dawa ya kwanza ni kuwafamisha vijana kuwa mtandao ni zaidi ya hayo - waonyeshe sites za masomo, mijadara ya kimaendeleo na hata ya kisiasa nk. Kwa mfano JF ina kila forum nzuri -international, political, economic, science and technology, education, legal matters nk na mods wako makini kufunga thread yoyote inayoonekana kwenda kinyume cha maadili - vijana tuwaelekeze huko/humu.
 

Bujibuji hii habari sio ya kweli. Japo hata mimi ningefurahi jamaa angelifunga hilo li-surakitabu. Habari hii inavumishwa na jamaa fulani wa mtandao wa Weekly World News | The World's Only Reliable News!. Hawa jamaa ni waongo sana wamezua kuwa Michelle Obama ni mjamzito.

Fuata hii link utaona story zao za uongo
FACEBOOK WILL END ON MARCH 15th! | Weekly World News
 
Hii ni hatari.
Mijitu inakurupuka kutoka kusikojulikana na kuanza kusambaza mijineno yao ya uongo.
 
rumors going around that facebook inafungwa,.nimependa ili waje jf kudiscuss nchi yao inavyoporwa badala ya ngono sababu majority wapo facebook kupata madem na men
 
Ni hadithi tu hizo hazina ukweli wowote.
 
jf hakuna wachumba hata ikifungwa zipo nyingine za kapata wachumba kama h5, tagged, etc huku hapawafai
 
rumors going around that facebook inafungwa,.nimependa ili waje jf kudiscuss nchi yao inavyoporwa badala ya ngono sababu majority wapo facebook kupata madem na men

Acha ujinga ww, wewe ndio unafikiria hivyo ila sio kweli kuwa wako kwa ajili ya mapenzi zaidi. Na watu kwenye face book ukiweka mada wanaweza changia kwa busara zaidi kuzidi humu JF. Na kwa taarifa yako facebook haifungwi hizo ni rumors tu
 
Acha ujinga ww, wewe ndio unafikiria hivyo ila sio kweli kuwa wako kwa ajili ya mapenzi zaidi. Na watu kwenye face book ukiweka mada wanaweza changia kwa busara zaidi kuzidi humu JF. Na kwa taarifa yako facebook haifungwi hizo ni rumors tu


Acha matusi! Mods fanyakazi yako kwanza hachangii JF
 
Sijawahi kusikia kauli ya maana kutoka kwa JK tangu awe Rais, lakini hii ya mbayuwayu nimeikubali ni kauli ya kuifanyia kazi, sasa na mimi nakwambia uwe kama mbayuwayu, ukisikia au ukiambiwa kitu changanya na akili zako. ni mwehu gani dunia hii anaweza kufunga biashara inayomwingizia mamilioni ya dolar kila mwaka? pls behave like realy Great Thinker.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…