Facebook kimyaaa!

Facebook kimyaaa!

Adolph

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2010
Posts
895
Reaction score
346
Wadau naombeni msaada..tokea jana nikifungua facebook kwa ku2mia moderms za voda inakataa.nimejaribu kutumia airtel na tigo inafunguka bt kwa kutumia moderms za voda inakataa.kinachoshangaza ni kwamba vitu vingine vinafunguka vizuri..naombeni msaada wadau
 
mimi pia mkuu, natumia voda na hata nikiReload narudi hapahapa kwenye hii report',,,,,,,:A S embarassed:

33e7ev9.jpg
 
alafu napiga simu customer care hata hawaeleweki....kero tupu
 
Back
Top Bottom