Facebook imeniliza

I just want to know your name....follow me on twitter and be my friend on facebook...
Umeshawahi kusikia huu wimbo?
nimeusikia lakini sio kwa lugha ya kizungu.Nalog off
 
sera entrega,ni kweli mkuu JF ni babkubwa 😛oamaana tunakandiana,tunashushuana na mengine mengi kwasababu tuko kininjaninja ni vigumu kujulikana.Nalog off
 
wambea na wanafiki wote wanaoi'dis fb.. Kuna raha kule na 99.5 per cent ya active memberz wa jf pia wapo fb nalog in.

wacha we kumbe nimechelewa sana mie.Nalog off
 
pole kwa kuanza kula dawa mpya ya kulevya ya face book...hii kitu ikikukolea huachi kila siku un log on...
nakuambia ila mie nilikuwa mteja wa darhotwire kipindi kile cha chatroom,lakini kwasasa siukubali uteja wa site yoyote.Nalog off
 
hahahahahahahahahahahahaha sio hivyo mkuu kulia kwa furaha kama pale unapofurahia timu yenu kuchukua ubingwa unafurahi mpaka unatoka na machozi.Nalog off

Sawa mkuu, nilikuwa najoki tu. Hata mimi nitafurahi hivyo siku YNWA itakapotwa ubingwa wa EPL.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…