Facebook Home For Android

leh

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2012
Posts
829
Reaction score
376
https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/429141-facebook-home-for-android.html

hii post juzi mkuu @C6, kaweka juzi kuongelea kuhusu Facebook Home. according to fb, hii app ilikuwa intended for a few high end devices ila thanx to a developer pale xda, kuna mod version yake for all phones. best thing is, sio lazima simu yako iwe rooted. enjoy...

download link--> Facebook Home [URL=http://d-h.st/8jn]facebook.apk - 10.21 MB[/URL]

P.S kama kuna version yeyote ya fb kwenye simu yako, inabidi u uninstall kwanza alafu ndo install fb home
 
leh mbona sioni chochote kipya, naona ni kama ile ile tu fb Messenger.
 
Last edited by a moderator:

sasa mkuu leh hii android yangu inakuja ikiwa packed na apps kama adobe reader, twitter, fb etc ambazo huwezi kuziondoa hata kama utafanya factory reset ndo kusema kwangu haitawezekana au
 
Last edited by a moderator:
Nimeiweka lkn kiukweli sijaona kama ina mvuto sana. Labda kwa wale watu wa fb 24 hours. Ni nzuri kimwonekano lkn rahisi kuichoka na si rahisi kwa matumizi nje ya fb.
 
sasa mkuu leh hii android yangu inakuja ikiwa packed na apps kama adobe reader, twitter, fb etc ambazo huwezi kuziondoa hata kama utafanya factory reset ndo kusema kwangu haitawezekana au
kwa simu ambayo inakuja na fb inabidi uwe umeroot ili uweze kuitoa mkuu
 
Last edited by a moderator:
Nimeiweka lkn kiukweli sijaona kama ina mvuto sana. Labda kwa wale watu wa fb 24 hours. Ni nzuri kimwonekano lkn rahisi kuichoka na si rahisi kwa matumizi nje ya fb.
leh mbona sioni chochote kipya, naona ni kama ile ile tu fb Messenger.
wizi mtupu, mi mwenywe sijaiona kama ina kitu cha tofauti kikubwa vile. but thats fb home for you. nasubiri NingaR na C6 na wao wanipe opinions zao. labda na chief-mkwawa apige port ya symbian :biggrin:
 
Last edited by a moderator:
wizi mtupu, mi mwenywe sijaiona kama ina kitu cha tofauti kikubwa vile. but thats fb home for you. nasubiri NingaR na C6 na wao wanipe opinions zao. labda na chief-mkwawa apige port ya symbian :biggrin:

hahaha basi la symbian limezama wami nimedandia la wp hapa mdogo mdogo naitafuta korogwe

kwenye windows phone kuna integration kama hio sie tunaangalia tu. Sku hizi android kila mtu anataka aeke interest zake. Ila watapatikana tu watumiaji maana fb wanaipa promo sana
 
Last edited by a moderator:
leh mimi sina mpango na hiyo fb home wala sita install, nimepunguza matumizi ya fb labda kwenye page nnazoziadmin. chief-mkwawa umerukia windows phone... hahahhaahaa nmeipenda
 
Last edited by a moderator:
wizi mtupu, mi mwenywe sijaiona kama ina kitu cha tofauti kikubwa vile. but thats fb home for you. nasubiri NingaR na C6 na wao wanipe opinions zao. labda na chief-mkwawa apige port ya symbian :biggrin:
naweza sema kwa upande wangu hijnivutia kabisaa lbda sio kila wakati nitahitaji kutumia facebook na simu yangu ina mabo ya muhimu zaidi ya hii facebook.
 
NingaR kama uko akilini mwangu
 
Last edited by a moderator:
hii maalum ni kwa facebook addicted persons,ngoja tusubirie madeveloper wabongo watuletee jamiiforums home kwa sisi tuliokuwa addicted na jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…