mimi niliongea na fiancee wangu then we agreed all of us to get out there, we did so
Wanawake wengi walioolewa wanaupload fb picha ambazo wamekumbatiwa na waume zao. Tena hao wanaume wanakuwa wametumbua jicho sawasawa kwa mpiga picha. Mwanaume ukitaka kukoment unaona kama huyo mume anakuona...
Na picha za bandia?
poleni sana kwa yaliyowakuta fb na hongereni kwa kujitoa wote, na ninaamini hakuna mwenye wasiwasi na mwenzie sasa, ila mimi tatizo langu ni kwa huyo mume ambaye yeye anaendelea kula maisha ya fb haoni kwamba anamuumiza mwenzie ki hisia na lazima atakuwa na mawazo tele kama; kwa nini mwenzie amebaki humo na ni watu wa namna gani ana chart nao? Ila kwasababu mwanamke hana power kwa mume inambidi atulie tu bt moyoni anaumia
mwanamke wee una akili
kuna mijitu inamisuse fb hadi basi!
Hivi ntie facebook mnafanyiaga nn?? Mie haijawahi kuwa source ya matatizo kwangu!! Simjui mtu sia accept request , kanitag ujinga na mblock. Marafiki wachache wenye akili zao!! Bhaasii
ukiona ndoa yasumbuliwa na facebook kuna la ziada halijasemwa. Ni hayo tuuu
I hate fb!!