I like it!I hate fb!!
mke anaweka picha za kuonyesha uumbaji wa Mungu kwann mume asipate wivu,kama fb yuko kwa ajili ya kutangaza biashara za kuingiza kipato simshauri kujitoa wazungumze yaishe,lakini kama ni kuchart tu na marafiki ajitoe sidhani kama atapungukiwa viungo vya mwili,wakati mwingine sio lazima kufanya mashindano kwenye ndoa hasa mwanamke kushindana na mwanaume eti kwa sababu yeye anafanya basi na ww ufanye, unapomheshimu mtu na yy atakuheshimu kwa sababu fb sio moja ya basic needs in life.

Du! Asnam leo umeongea kikubwa kweli. Nimeukubali ushauri wako.
mke anaweka picha za kuonyesha uumbaji wa Mungu kwann mume asipate wivu,kama fb yuko kwa ajili ya kutangaza biashara za kuingiza kipato simshauri kujitoa wazungumze yaishe,lakini kama ni kuchart tu na marafiki ajitoe sidhani kama atapungukiwa viungo vya mwili,wakati mwingine sio lazima kufanya mashindano kwenye ndoa hasa mwanamke kushindana na mwanaume eti kwa sababu yeye anafanya basi na ww ufanye, unapomheshimu mtu na yy atakuheshimu kwa sababu fb sio moja ya basic needs in life.
Asnam.. Me nahisi nikawivu pia kapo we fikiria mtu acoment kwenye picha ya mke wa mtu anamwambia ur so qut, i wish 2 mary u. Hapo c lazima atolewe mita humo ndani(fb)?
Mkuu nimekugongea like!..
Asnam.. Me nahisi nikawivu pia kapo we fikiria mtu acoment kwenye picha ya mke wa mtu anamwambia ur so qut, i wish 2 mary u. Hapo c lazima atolewe mita humo ndani(fb)?
Hivi jay dee aliimba wivu unahusika kwenye nn vile?!.
mke anaweka picha za kuonyesha uumbaji wa Mungu kwann mume asipate wivu,kama fb yuko kwa ajili ya kutangaza biashara za kuingiza kipato simshauri kujitoa wazungumze yaishe,lakini kama ni kuchart tu na marafiki ajitoe sidhani kama atapungukiwa viungo vya mwili,wakati mwingine sio lazima kufanya mashindano kwenye ndoa hasa mwanamke kushindana na mwanaume eti kwa sababu yeye anafanya basi na ww ufanye, unapomheshimu mtu na yy atakuheshimu kwa sababu fb sio moja ya basic needs in life.
mke anaweka picha za kuonyesha uumbaji wa Mungu kwann mume asipate wivu,kama fb yuko kwa ajili ya kutangaza biashara za kuingiza kipato simshauri kujitoa wazungumze yaishe,lakini kama ni kuchart tu na marafiki ajitoe sidhani kama atapungukiwa viungo vya mwili,wakati mwingine sio lazima kufanya mashindano kwenye ndoa hasa mwanamke kushindana na mwanaume eti kwa sababu yeye anafanya basi na ww ufanye, unapomheshimu mtu na yy atakuheshimu kwa sababu fb sio moja ya basic needs in life.
ni kweli hata mimi niliombwa nitoke tangu 2008 kipindi hicho facebook haijashika sana, na kwa roho moja nlitoka mpaka leo, ni heshima tu, hakuna haja ya kushindana na mumeo, afterall fb sidhani kama ni muhim sana kivile mpaka ilete ugomvi, ni aibu kwako wewe ambaye ndoa yako itakua na utata au kuvunjika kisa eti fb au unagoma kutoka fb,.otherwise, kama mpo fb na ni wanandoa basi jiheshimuni kwa picha zenu, na status zenu, msivuke mipaka na mkaanza kutongoza na kutongozwa mitandaoni humo na kuisahau ahadi yenu ya ndoa..
Wanawake wengi walioolewa wanaupload fb picha ambazo wamekumbatiwa na waume zao. Tena hao wanaume wanakuwa wametumbua jicho sawasawa kwa mpiga picha. Mwanaume ukitaka kukoment unaona kama huyo mume anakuona...Hivi inakuwaje, mume na mke mmejiunga kwenye mtandao wa kijamii kama Facebook then baada ya muda flani mume anampiga marufuku mke wake kutoingia Facebook tena, kisa wanaume wana like na kucomment sana hasa kwenye picha na status za mke, lakini mume huyo yeye bado anapeta kwenye huo mtandao. Mke kapewa onyo akiingia tena basi ajue na ndoa itavunjika.
So wana jamvi wenzangu naomba mnijuze ni haki kwa huyo mume kufanya hivyo? Na kwanini atoke mke tu, wasitoke wote?