Wanalipa kodi aisee, sema hujajua wanalipaje!
ukinunua product toka kwenye mitandao hii mfano amazon, ebay, alibaba, yahoo shipping yako (tena naomba more details khs hii kitu aisee) si unatozwa kodi, hiyo kodi si inaenda serikalini ndg.
hii mitandao ni sawa na duka la mtu, ila tofauti ni kwamba unanua bidhaa toka dukani bila kulipa kodi ila kabla hujaifikisha home kwako somewhere unabanwa kulipa kodi ndo unaanza kutumia bidhaa yako!!