Facebook, Google na wengine walipe kodi TRA

Third Eye

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
374
209
Mitandao mikubwa kama Facebook na Google hupata revenue zake kupitia matangazo yanayokuwa displayed. The more visitors you have the more revenue kama unatumia pay per impression au hata kama unatumia pay per click.

Both impression and clicks zinatokana na visitors ambao wengine ni wa Tanzania hivyo kufanya Tanzanians kuwa source ya revenue.

My question, why mitandao hii hailipi kodi kwa serikali ilhali sehemu ya mapato yao yanatokana na watanzania? Wadau hii imekaaje?
 
Wanalipa kodi aisee, sema hujajua wanalipaje!
ukinunua product toka kwenye mitandao hii mfano amazon, ebay, alibaba, yahoo shipping yako (tena naomba more details khs hii kitu aisee) si unatozwa kodi, hiyo kodi si inaenda serikalini ndg.

hii mitandao ni sawa na duka la mtu, ila tofauti ni kwamba unanua bidhaa toka dukani bila kulipa kodi ila kabla hujaifikisha home kwako somewhere unabanwa kulipa kodi ndo unaanza kutumia bidhaa yako!!
 
Mitandao mikubwa kama Facebook na Google hupata revenue zake kupitia matangazo yanayokuwa displayed. The more visitors you have the more revenue kama unatumia pay per impression au hata kama unatumia pay per click.

Both impression and clicks zinatokana na visitors ambao wengine ni wa Tanzania hivyo kufanya Tanzanians kuwa source ya revenue.

My question, why mitandao hii hailipi kodi kwa serikali ilhali sehemu ya mapato yao yanatokana na watanzania? Wadau hii imekaaje?

Acha hao wanaoship vitu kuja huku, nazungumza mitandao ya service sio products, anyway mfano jamii forums

Si unaona hayo matangazo? Kuna kitu wanaita ad network mtani Airtel wanalipa Google, Google wanaweka matangazo kwenye websites mbalimbali wanakata cha juu na hao wenye website wanapata chao kwa system ya either pay per click or pay per impression.

Yaani kwa lugha rahisi kila unapotembelea mtandao mfano now si unaona tangazo then wamiliki wa JF wanalipwa, nahisi hawa wanatumia adserve ya German sio Google

Hiyo ni system kwa Google inaitwa AdSense unalipwa kutokana na idadi ya watu wanaona tangazo (impression) or wanaofungua hilo tangazo (pay per click)

So mimi ugomvi wangu ni haya makampuni yanayotoa ads online why hayalipi?
 
Mitandao kama jamii forums, facebook, google ni ngumu au siyo fair kuwabana kulipa kodi kwa sababu wao wanajifanya wanatoa huduma kwa jamii - which is true, na hiyo huduma wanatoa bure, which is also true ndo maana tunajimwaga bure. Ila wanadai hizo ads ndo zinawasaidia ku-offset gharama za uendeshaji e.g server maintanance, hosting charges etc.
 
Wakuu.
Vipi Kuhusu Blog Zetu Za Kitanzania Zinazotoa Various Services Kama Kuuza Kazi Za Wasanii,Is There A Really Strict Channel In Our System To Drain Incomes From These??
 
Mi kwa uzoefu wangu mdogo wa kuishi ndani ya nchi hii segment ya watu wanao trade online si kubwa sana ukilinganisha na wale wanao trade on a direct contact basis. Ukiangalia kwenye economy unaweza kukuta sana sana ni asilimia moja tu ya population ndo ina trade online. Needless to say, it will be very low contribution no matter how significant it may look. Anyway, perhaps TRA could create a specific department to monitor and evaluate this business and see how they can keep it sustainable now that every coin counts in the expenditure of the government
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom