Face Meat

Aisee kuna hatari ya kukosa soko, binadamu ana thamani yake, wanunuzi wanaweza wasiwe na amani ingawa si nyama ya binadamu.
 
anayepika hizo nyama kwa mtindo huo alikuwa anafikiria nini haswaa?
 
Ni mtu mwenye roho ya kishetani au mchawi ndio anaweza kupata mlo wa namna hiyo na akabaki katika mood ya kawaida vinginevyo.aaaaaaaaaaaaaaaghhhhhhhh.
 
Wachina wanajua kutia watu kinyaa! Aaagh!
 
Potezea mudi ya kufungulia kabisa na patia mimi mood
kali ya kufunga siku mbili mfululizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…