face book hacking

face book hacking

kuna tetesi kua facebook acc. haziwezi kuwa hackes is t true



Kuna sehemu umeskia au we mwenyewe unavyohisi ?
Labda kama unazungumzia zile fake booters websites zenye negative results zinazoku hack mwenyewe ! Unapojidanganya ku hack facebook ID flani !
 
Next to impossible
labda utumiwe page fake ya fb then uingize details zako hackers wazidake kisha wata sign in kutumia hizo details ulizowapa kwenye page fake ya fb
 
Next to impossible
labda utumiwe page fake ya fb then uingize details zako hackers wazidake kisha wata sign in kutumia hizo details ulizowapa kwenye page fake ya fb


You ain't interested thats why !
Phishing ni old sana na siku hizi inatumiwa na beginners !
Mana wengi sana wako aware !

There many ways out there ! Google will help you !
 
Back
Top Bottom